Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kazi kwelikweli ….usiombe ww ndo uwe wa kuzugia 😁
 
watu wanatemwa balaa, kuna madogo wamerudi wanaskilizia wing ya oljoro
Kuna wale ambao walitakiwa kumaliza mkataba mwaka jana mwez wa12 then wakaongezewa mkataba wa miez3 so mwezi wa3 mwaka huu mkataba ukaisha wakatemwa alafu week2 baadae ajira zikatangazwa …..daah ila jeshi kuna muda ni wakatili 😅
 
Hao ni OP miaka 60 Ya JKT halafu Tangazo limewakuta humohumo Vikosini bhana na usaili walikua wamefanya tayarii...mbona mie nna madogo kibao nawajua na wametembea MSATA kama hukusomwa jina ndo siku hio unapewa nauli kurudi kwenu,,Mwezi march walivyotaka kurudi home walizuiwa na kilichowasubirisha ni hili Bogi.OVER
 
Duh!! Kwani hili bogi ni mtu ngapi zinatakiwa kwenda kubeba log?
 
Duuh mbona kuna madogo nilionana nao wananunua mabegi wakaniambia mkataba ndo umeisha kwahyo ndo wanajiandaa wanarud makwaoo
 
Ila kama una dada ako uko kikosini au anataka kwenda jeshini (jkt) ni bora ukamwambia tu afanye mambo mengne maana sasahiv naona hawataki mademu uko msata yani kambi nzima unakuta wanachukua serengeti 6 tu, tena hao sita unakuta ni wamaelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…