Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Shukrani sana mkuu na kuhusu kamandi unapangiwa au unapanga mwenyewe kwenye hiyo level 3
 
Baada ya hapo inabidi tena ukasomee u-officer? Au mpaka upangiwe tena
 
sema basi tu ni umasikini na ukosefu wa ajira , tunakimbilia huko jw

kwa nchi zilizoendelea DF, ni service tu.
 
Bachelor japo nitatumia cheti cha kidato cha sita
Ni sawa ila mpaka ubahatike kwenye sahili zao watazofany kama n huko rts au vikosn japo kuna umri ukiwa umefika ni ngum kwenda mfn nina mshkaj wang n degree holder ila mpk sasa n Pte wenzake wameula mwaka jana Tma so bahati pia ikiwa upande wako...
 
Kwahio kuna RTS,level 3 na u-officer..
Hii ni kwa wote hata maEngineer,madokta nk
Huko mambo sio kama tuzaniavyo mzee Rts yaan Recruit Training school unatoka Kama TS,...alaf Level 3 ndio ukimaliza unakua Pte yaan Private huko TMA ndio Kama una elimu ukibahatika kwenye sahili bas utakua umeula ikishindikana bas utabak kuwa Pte japo utakua unakula dow ya hicho chet chako cha taaluma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…