BMS wanafanya/Wameshfanya usaili, Vikosini wametangaziwa kuaniza J3 ya Jana vikosini USAILI vijana waliojenga Ikulu ninaofahamiana nao baadhi wamepgiwa simu kuna details wamechukua hizi ni Ronja tu MkuuMmh muongo
HAWAPENDI HUU UKWELII HUMU😀😀Kama.haupo ndani ya KJ mkuu kuvaa Baka uwe na maelekezo makali sana sana
Tupe maelekezo mkuuHAWAPENDI HUU UKWELII HUMU😀😀
Sina Maelekezo yeyote KakaTupe maelekezo mkuu
Wanamalizia soon wataondoka kama hauna mbanga ndo imeisha hiyoWa makambini vp walifanyiwa usaili?
Duuh bas sio poa kwaiy uelekeo msasta au oljoroWanamalizia soon wataondoka kama hauna mbanga ndo imeisha hiyo