Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Anaitwa Wilson
 
Kule hutoroki, ila unatoroshwa…

Na mpaka watake kukutorosha…

Tena ukiwa pisi kali ndo kabisaaaaa…HUTOROKI na HUTOROSHWI [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] 200k zililiwa, sikutoroshwaa, plus adhabu na mateso juu.

Ila siku kusema kesho tunarudi home kutoka kambini, jinsi wale wajex walivyokua wanatoa maneno ya busara na utu, had najiuliza ndo hawa hawa wapiga kwaxoo aaah wee.

Jeshi sio kwa kukimbilia.
 
Bajeti Kuu ya Serikali inasomwa leo Bungeni
Yaaaah itatupa Dira vijana 2a
Yaaani kuna watu wapo humu humu na wanapambania hizi nafasi ila 6weeks tu hawatavumilia watatoroka tu nasemaje 😂😂😂wataondoka tu
 
Kawacheki pale base mkuu
 
ioo
Yaaaah itatupa Dira vijana 2a

Yaaani kuna watu wapo humu humu na wanapambania hizi nafasi ila 6weeks tu hawatavumilia watatoroka tu nasemaje 😂😂😂wataondoka tu
iko wazi mbona😂, hakunaga bogi linapita bila ya watu kukimbia
 
We unafanana na mimi kuanzia mwaka wa mapambano mpaka cheo cha mbanga. [emoji28] Tuwaombee mabaya kweli.
[emoji23]kuna siku nilimuandikia sms sasa "Faza leo hii unanikunjia lakin jua una watoto pia kuna leo na kesho" niliamua kuifuta tu, namuona kama adui tu kwangu
 
Yaaaah itatupa Dira vijana 2a

Yaaani kuna watu wapo humu humu na wanapambania hizi nafasi ila 6weeks tu hawatavumilia watatoroka tu nasemaje [emoji23][emoji23][emoji23]wataondoka tu
Waende wakajionee wenyewee huko huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…