Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mkuu Zafrain sag siku hizi huleti lonja tena,Em tupatie a,b,c,d za kinachoendelea huko Makao Makuu ili wazalendo tujue.
 
Screenshot_20240618_180058_WhatsApp.jpg

Mzigo huo apo kutoka kwa wajuzi wa mambo Huyu Janja yuko makini sana na kazi tuwe tayari
 
Mkuu Zafrain sag siku hizi huleti lonja tena,Em tupatie a,b,c,d za kinachoendelea huko Makao Makuu ili wazalendo tujue.
Daaah mkuu,Toka niajiriwe na utumishi nakuwa busy sanaaa,Hivyo nashindwa pia nakosa na mda wa kutafuta info!!!!Ila update ya mwisho niliyoitoa ilkuwa sahihi kaka, Sijapata maelekezo kuwa ni tofauti na July kuripoti.
 
Intake hii itachukua watu wengi sana (idadi niliyotajiwa ni kubwa kuliko hiyo hapo juu kama utakumbuka niliwahi quote awamu hii ni watu wengi sana wataingia mzigon) na vituo vya mafunzo inategemewa rts Kihangahiko,rts Oljoro pamoja na Zanzibar.,,,,,, Sasa basi kila lenye kheri kwetu wapambanaji mungu asimame upande wetu tuzifikie nadhiri tulizo kusudia mioyoni mwetu🙏🏽
 
Back
Top Bottom