Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Oya wazee wangu, kuna Lonja nimelipata jana, sijui kuhusu ukweli wake.

Kuna dogo katoka NIT (Nadhani ndo anamaliza chuo), Katoa mzigo kiasi fulani, kajazishwa fomu, akaambiwa ajiandae kuripoti mwezi wa 8…


Sijawahi sikia kama kuna fomu za kujaza ukiwa mtaani kabla ya kuingia kule ila kama kajazishwa fomu kama ya hapo juu basi mpe pole kashapigwa.
 
Huko sijauliza,mimi nlienda kusalimia tu nkakuta hilo shangwe
Tena dem ni std7 tu ila ma Jkt ma mugambo huko kashachafua na jeshi lipo damuni mbaya.
Mmmh huyu standard 7 ni uongo kupata labda tukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…