Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Oya wazee wangu, kuna Lonja nimelipata jana, sijui kuhusu ukweli wake.

Kuna dogo katoka NIT (Nadhani ndo anamaliza chuo), Katoa mzigo kiasi fulani, kajazishwa fomu, akaambiwa ajiandae kuripoti mwezi wa 8…
fd217235-9f99-4b19-9cad-2dcc57ccafee.jpeg


Sijawahi sikia kama kuna fomu za kujaza ukiwa mtaani kabla ya kuingia kule ila kama kajazishwa fomu kama ya hapo juu basi mpe pole kashapigwa.
 
Back
Top Bottom