Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Hii sipingi mwaka fulani kuna mdau alifika pale Getini akakuta jina halisomi wakamuuliza umefikaje alitaja mtu kutoka juu so mbaya jamaa kweli Vipimo akapita na kozi alipiga now after level 3 yuko zake Mt. HukoMkuu huwezi amini hata kama pale getini jina lako halipo unaweza kupiga kozi vizuri tu kama ukiwa na mtu sahihi nyuma yako