Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Bogi hili naskia itakua nyomi sana omba mungu uwe miongoni....pengn 7b next year general election
wanahitajika wapiganaji wakutosha ndo maana form4 na 6 wamepewa kipaombele. ila yote kwa yote hata kama unajua unakasoro kiasi gani hili bogi usiache kutuma maombi .
 
Unalijua jeshi au unalisikia sifa mmbanga mzee unaweza uka uko fit kabisa lakin ukaenda kihangaiko ukapimwa ukaambiwa unadalili za kifafa
wanahitajika wapiganaji wakutosha ndo maana form4 na 6 wamepewa kipaombele. ila yote kwa yote hata kama unajua unakasoro kiasi gani hili bogi usiache kutuma maombi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…