Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Au ndio mwendo wa asante kwa kushirikiNaambiwa safar hii coz itakua sio poa lazima raia wateme Damu
Au ndio mwendo wa asante kwa kushiriki
Tutwaga ata asali chamsingi nikumaliza kozi captainNaambiwa safar hii coz itakua sio poa lazima raia wateme Damu
Daah, huzuni sana captain, nimelia sanaaa, pole aiseeMimi nilifika mpaka msata kaka kwenye vipimo.. katika sehem unatakiwa umuombe mungu au kama una mbanga unatakiwa uisumbue ni pale kuna figisu nikajaza kuna fomu mtapewa mjaze sijui taalifa zenu binafsi nikajaza kuna taratibu nyingine mtaona nikafanya sasa kwenye vipimo nikafanya yakasomwa majina ya unfit langu likawepo oya wana walikua wanalia tulitemwa 250
ukibahatika kwenda utajioneaDaah, huzuni sana captain, nimelia sanaaa, pole aisee
Damu lazima itoke na jasho lenye chumvi nyingiiNaambiwa safar hii coz itakua sio poa lazima raia wateme Damu
Kuna bidada alikutwa na sikoseli ikabidi atemwe. Nikasikia ilipigwa simu moja tu.. ile simu ikapigiwa saluti na akarudishwa mzigoni muda huohuoMimi nilifika mpaka msata kaka kwenye vipimo.. katika sehem unatakiwa umuombe mungu au kama una mbanga unatakiwa uisumbue ni pale kuna figisu nikajaza kuna fomu mtapewa mjaze sijui taalifa zenu binafsi nikajaza kuna taratibu nyingine mtaona nikafanya sasa kwenye vipimo nikafanya yakasomwa majina ya unfit langu likawepo oya wana walikua wanalia tulitemwa 250
Hayo ni maelekezo japo mara nyingi kwenye magonjwa hua wanakua serious sana labda maelekezo yalikua makubwa ndiomana akatoboaKuna bidada alikutwa na sikoseli ikabidi atemwe. Nikasikia ilipigwa simu moja tu.. ile simu ikapigiwa saluti na akarudishwa mzigoni muda huohuo
Ilitolewa amri amalize kozi.. watajua wao Ma-M-O wajaze nn ili yule amalize kozi ile. Unajua hierarchy ilivyo? Jambo likitoka juu kwenda chinj ni Amri hata kama limewsilishwa kama ombiHayo ni maelekezo japo mara nyingi kwenye magonjwa hua wanakua serious sana labda maelekezo yalikua makubwa ndiomana akatoboa
Najua mkuu sipingani na weweIlitolewa amri amalize kozi.. watajua wao Ma-M-O wajaze nn ili yule amalize kozi ile. Unajua hierarchy ilivyo? Jambo likitoka juu kwenda chinj ni Amri hata kama limewsilishwa kama ombi
Ahahaha unaweza piga afande kabisa na unajua upo safiYani kuna jamaa walimwambia unadalili ya homa ya ini aliangua kilio😂
Na kwenye majeshi hii ndio inatumika sana hasa kipindi kama hichi mbanga zinapishana sana simu ni nyingi😁Najua mkuu sipingani na wewe
ukiona wana wanalia siku yakuapa usizani wana hisia za kike mambo ni mengiAhahaha unaweza piga afande kabisa na unajua upo safi
Hao ndo hata JKT hawakupitaAlafu kabla hatujaondoka wakaja watu toka mtaani nahisi ndio walijaza zile nafasi tuliotemwa
Ndio hawajapita kabisa walikua wengi wamemaliza chuo mana ilikuwa kipindi kama hikiHao ndo hata JKT hawakupita
Ukaloge kwelikweli.. kuna mwanangu aliweka hadi kiwanja chake cha milion saba rehani kwa mbanga wampige push atoboeKweri hilo nimeona mana ata wenyewe wanakuambia kama huna mtu uwe na bahati sana
Age go mwenzangu huyu hapa🤣🤣🤣Eeeh mwisho 24 sasa Nina 27 sasa sini age go
Nashangaa huku watu wanasema kama hujapita JKT usijisumbue ngoja hawataamini una force number yako ya jkt na cheti chako utakiangalia tu mtu hana chochote anaenda unaachwaHao ndo hata JKT hawakupita
Hizo zipo sana mkuu. Na vijana wanatoboa jkt hawajapita, miaka imewapita na familia majumban wanazoNdio hawajapita kabisa walikua wengi wamemaliza chuo mana ilikuwa kipindi kama hiki