Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mimi nilifika mpaka msata kaka kwenye vipimo.. katika sehem unatakiwa umuombe mungu au kama una mbanga unatakiwa uisumbue ni pale kuna figisu nikajaza kuna fomu mtapewa mjaze sijui taalifa zenu binafsi nikajaza kuna taratibu nyingine mtaona nikafanya sasa kwenye vipimo nikafanya yakasomwa majina ya unfit langu likawepo oya wana walikua wanalia tulitemwa 250
Daah, huzuni sana captain, nimelia sanaaa, pole aisee
 
Mimi nilifika mpaka msata kaka kwenye vipimo.. katika sehem unatakiwa umuombe mungu au kama una mbanga unatakiwa uisumbue ni pale kuna figisu nikajaza kuna fomu mtapewa mjaze sijui taalifa zenu binafsi nikajaza kuna taratibu nyingine mtaona nikafanya sasa kwenye vipimo nikafanya yakasomwa majina ya unfit langu likawepo oya wana walikua wanalia tulitemwa 250
Kuna bidada alikutwa na sikoseli ikabidi atemwe. Nikasikia ilipigwa simu moja tu.. ile simu ikapigiwa saluti na akarudishwa mzigoni muda huohuo
 
Hayo ni maelekezo japo mara nyingi kwenye magonjwa hua wanakua serious sana labda maelekezo yalikua makubwa ndiomana akatoboa
Ilitolewa amri amalize kozi.. watajua wao Ma-M-O wajaze nn ili yule amalize kozi ile. Unajua hierarchy ilivyo? Jambo likitoka juu kwenda chinj ni Amri hata kama limewsilishwa kama ombi
 
Back
Top Bottom