Insider Boy
Senior Member
- Aug 5, 2015
- 189
- 309
Upo sahihi mkuuunapotoa hela hakikisha na mbanga mwenyewe awe mkweli, ivi mnajua kuwa mbanga zinazidia uwezo, simaanishi uwezo wa cheyo, hapa nazungumzia nafasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuuunapotoa hela hakikisha na mbanga mwenyewe awe mkweli, ivi mnajua kuwa mbanga zinazidia uwezo, simaanishi uwezo wa cheyo, hapa nazungumzia nafasi.
Hili hata mimi naliona😂😂😂Inshort hakujawahi kutokea bogi ambalo linapiganiwa na watu wengi kama hili. Ukifanikiwa kuingia intake hii sali sana mpaka siku unaapa.
Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.Sahihi, anaweza akawa BRIGEDIA ila hayupo jikoni, yani hadi apige simu…
Halafu kuna Luteni huko, yupo tume ya utumishi, au IT wa tume 😀
Hili si kwa wakubwa tu, ambao kimsingi nyuma yao kuna watu wengi..Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.
Makao yao yako wapi?Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.
Makao Dodoma mkuu 😀Makao yao yako wapi?
I mean huko wanapofanya moderations ya hizi mambo zote,tuanze kudeal napo sasa😂
Hili si kwa wakubwa tu, ambao kimsingi nyuma yao kuna watu wengi..
Piga mfano wewe tu, mtu anayetaka umpe dili alafu yupo mbali, na yule unayemuona, yupi rahisi kumdanganya na yupi ni rahisi kumpa mchongo..!? 😀
Yeah ndio maana nashauri hata kabla hujatoa hela ujue huyo mbanga yupo wapi na kama ana historia ye kuingiza watu before la sivyo utalia.Hili si kwa wakubwa tu, ambao kimsingi nyuma yao kuna watu wengi..
Piga mfano wewe tu, mtu anayetaka umpe dili alafu yupo mbali, na yule unayemuona, yupi rahisi kumdanganya na yupi ni rahisi kumpa mchongo..!? 😀
Na vp ukiamua kutafuta mbuyu hapo hapo RTS???Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.
Mkuu, kazi mbaya ukiwa nayo…yah mkuu, sema hii kaz bana nzuri ukiwa umevaa bakabaka + maokoto, baada ya hapo unaweza chukia, kuna mwana ni askari hapa anasemaga dah basi tu hana cha kufanya ila haipendi hii jobu, aliingia kwasabb hakuw na ishu za kufanya.
Ukipata mbanga anaefanya kaz ofisi ya CP hapo uhakika mkuu🤣Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.
Ushauri huo, mwenye kuuchukua, na auchukue 🙌🏾🙌🏾Yeah ndio maana nashauri hata kabla hujatoa hela ujue huyo mbanga yupo wapi na kama ana historia ye kuingiza watu before la sivyo utalia.
Atakua PRIVATE HUYO🤣Mkuu, kazi mbaya ukiwa nayo…
Alafu, huyo anacheo gani kwanza..!?
Maana kuna vyeo lazima uone kazi mbaya mzee 😀
😂😂😂 Ila wapo ambao kichwani jeshi moyon jeshi...kimsingi analipenda lipo damuni ila kama ulienda huko kwa shinikizo ikikupata mushkel yoyote utatamn ukache na sio huko tu ni sehem nyingi tuyah mkuu, sema hii kaz bana nzuri ukiwa umevaa bakabaka + maokoto, baada ya hapo unaweza chukia, kuna mwana ni askari hapa anasemaga dah basi tu hana cha kufanya ila haipendi hii jobu, aliingia kwasabb hakuw na ishu za kufanya.
Yah mkuu kama ulkua kichwani mwangu vile. Watu tulokulia kota tangia wadogo wengi wetu jeshi lipo damuni. Lkn walolijua baada ya kuanza harakat za ajira ndo hao wanaosema hawalipendi🤣😂😂😂 Ila wapo ambao kichwani jeshi moyon jeshi...kimsingi analipenda lipo damuni ila kama ulienda huko kwa shinikizo ikikupata mushkel yoyote utatamn ukache na sio huko tu ni sehem nyingi tu
Ishu ni maandalizi tu…then asilimia kubwa snaa ya watoto wa wakubwa sijui kwanini hawanaga interest kurithi kazi za baba zao, utakuwa wana interest nyingne kabisaa.
Kabisa, yani huwezi kuwa na cheo kikubwa, alafu ukachukia wakati kila kitu ni kwa amri yako 😀Atakua PRIVATE HUYO🤣
Ukipata mtu yupo ofisi ya CP ndo shega 7bu ndo jikoni huko🤣Yeah ndio maana nashauri hata kabla hujatoa hela ujue huyo mbanga yupo wapi na kama ana historia ye kuingiza watu before la sivyo utalia.
Uhakika upendi jeshi na unataka hela nenda bank sasa au fany harakat zinazokuingizia pesa achana na jeshi huu ni wito na muitikio wa mtu binafsiYah mkuu kama ulkua kichwani mwangu vile. Watu tulokulia kota tangia wadogo wengi wetu jeshi lipo damuni. Lkn walolijua baada ya kuanza harakat za ajira ndo hao wanaosema hawalipendi🤣