Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Sahihi, anaweza akawa BRIGEDIA ila hayupo jikoni, yani hadi apige simu…

Halafu kuna Luteni huko, yupo tume ya utumishi, au IT wa tume 😀
Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.
 
Hili si kwa wakubwa tu, ambao kimsingi nyuma yao kuna watu wengi..

Piga mfano wewe tu, mtu anayetaka umpe dili alafu yupo mbali, na yule unayemuona, yupi rahisi kumdanganya na yupi ni rahisi kumpa mchongo..!? 😀
 
Makao yao yako wapi?
I mean huko wanapofanya moderations ya hizi mambo zote,tuanze kudeal napo sasa😂
 
yah mkuu, sema hii kaz bana nzuri ukiwa umevaa bakabaka + maokoto, baada ya hapo unaweza chukia, kuna mwana ni askari hapa anasemaga dah basi tu hana cha kufanya ila haipendi hii jobu, aliingia kwasabb hakuw na ishu za kufanya.
Hili si kwa wakubwa tu, ambao kimsingi nyuma yao kuna watu wengi..

Piga mfano wewe tu, mtu anayetaka umpe dili alafu yupo mbali, na yule unayemuona, yupi rahisi kumdanganya na yupi ni rahisi kumpa mchongo..!? 😀
 
Hili si kwa wakubwa tu, ambao kimsingi nyuma yao kuna watu wengi..

Piga mfano wewe tu, mtu anayetaka umpe dili alafu yupo mbali, na yule unayemuona, yupi rahisi kumdanganya na yupi ni rahisi kumpa mchongo..!? 😀
Yeah ndio maana nashauri hata kabla hujatoa hela ujue huyo mbanga yupo wapi na kama ana historia ye kuingiza watu before la sivyo utalia.
 
then asilimia kubwa snaa ya watoto wa wakubwa sijui kwanini hawanaga interest kurithi kazi za baba zao, utakuwa wana interest nyingne kabisaa.
 
yah mkuu, sema hii kaz bana nzuri ukiwa umevaa bakabaka + maokoto, baada ya hapo unaweza chukia, kuna mwana ni askari hapa anasemaga dah basi tu hana cha kufanya ila haipendi hii jobu, aliingia kwasabb hakuw na ishu za kufanya.
Mkuu, kazi mbaya ukiwa nayo…

Alafu, huyo anacheo gani kwanza..!?
Maana kuna vyeo lazima uone kazi mbaya mzee 😀
 
Mbanga wengi wenye afadhali ni wale waliopo makao unaweza kuwa na mbanga ana cheo kikubwa lakini yupo mbali na makao watu majina yake hawayatilii maanani.
Ukipata mbanga anaefanya kaz ofisi ya CP hapo uhakika mkuu🤣
 
yah mkuu, sema hii kaz bana nzuri ukiwa umevaa bakabaka + maokoto, baada ya hapo unaweza chukia, kuna mwana ni askari hapa anasemaga dah basi tu hana cha kufanya ila haipendi hii jobu, aliingia kwasabb hakuw na ishu za kufanya.
😂😂😂 Ila wapo ambao kichwani jeshi moyon jeshi...kimsingi analipenda lipo damuni ila kama ulienda huko kwa shinikizo ikikupata mushkel yoyote utatamn ukache na sio huko tu ni sehem nyingi tu
 
Yah mkuu kama ulkua kichwani mwangu vile. Watu tulokulia kota tangia wadogo wengi wetu jeshi lipo damuni. Lkn walolijua baada ya kuanza harakat za ajira ndo hao wanaosema hawalipendi🤣
 
then asilimia kubwa snaa ya watoto wa wakubwa sijui kwanini hawanaga interest kurithi kazi za baba zao, utakuwa wana interest nyingne kabisaa.
Ishu ni maandalizi tu…

Unakuta mzee kashamwekea dogo mazingira ya biashara… Yani hamlei kupenda jeshi, anamlea kuliona jeshi kama sehemu ya kupoteza uhuru wa kufanya mambo yako…

Dogo akiangalia mzee, mara Dodoma, mara kapelekwa Iringa mara karudi Dar, mara kawa deployed Kongo…

Dogo anaona utumwa si ndo huu hapa, anatafuta cha kufanya 😀
 
Yah mkuu kama ulkua kichwani mwangu vile. Watu tulokulia kota tangia wadogo wengi wetu jeshi lipo damuni. Lkn walolijua baada ya kuanza harakat za ajira ndo hao wanaosema hawalipendi🤣
Uhakika upendi jeshi na unataka hela nenda bank sasa au fany harakat zinazokuingizia pesa achana na jeshi huu ni wito na muitikio wa mtu binafsi
 
Back
Top Bottom