Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ndio mzee baba hapo conneeeee na dua nyingi.....japo hapo mzigon me ndio kuna mshkaj alinichn mzee wake kampangilia hivo wanaotakiwa kufny sahil n Op mabeyo kwanz,,,,,,,, Ila sizan Kama itazuia mipiganisho hii
Zote mbwembwe muhimu connection tu
 
Kuna nadharia inakuja kichwani degree holder wasibebwe wengi maan waliopo hapo kati saiv n weny shahada na astashahada,,,,,,,,mwenye kuchangia hapa kwenye mtizamo wangu wakuu
 
Kuna nadharia inakuja kichwani degree holder wasibebwe wengi maan waliopo hapo kati saiv n weny shahada na astashahada,,,,,,,,mwenye kuchangia hapa kwenye mtizamo wangu wakuu
Wenye shahada wakuapi tena kwani walopo kihangaiko si madogo wa form6 mkuu
 
Wenye shahada wakuapi tena kwani walopo kihangaiko si madogo wa form6 mkuu
Mmmh sina imani na hilo sana ila nliwah ambiwa ni form six mixer na hao niliosema hapo juu na walkua wachache Sana kinamba na mpaka sasa walibak wachch sabab______🔐
 
Mmmh sina imani na hilo sana ila nliwah ambiwa ni form six mixer na hao niliosema hapo juu na walkua wachache Sana kinamba na mpaka sasa walibak wachch sabab______🔐
Kuna mmoja alifariki mwanzoni mwa six weeks wahuku mtaani kwetu ye alkua form6
 
Ko mwanangu unataka mshati a.k.a kitenge ila kuchunguliwa utak si ndio[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu kitenge, hapana cna interest kabisaa.
Nilipita kwa mujibu, nako kwa lazima ya mzee.

Labda nipewe gwanda na kitengo, bila kufanya hayo mafekechee ya kuutesa mwili, woiiiih
 
haya mambo noma snaa, na sio kwamba hana hela , mpunga anao ila amesema hatoi rushwa yoyote, wakishindwa kumsaidia waache, akasema mbna anamwanaye ni director wa nyimbo anaitwa (JOMA),kapambana kwenye mishe nyingine na katoboa [emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nazidi kuvunjika mbavu, khaaah
 
Kitu ambacho wengi hawajui, MASOJA wengi wakubwa, hawataki watoto wao wapite huko…

Kwetu tuna WASOJA wawili, wakubwa, ila watoto tunapuyanga tu [emoji3]

Baba’angu mkubwa ni 2-star general, ila aligoma kumpigania mwanaye, now mwanae ni KOPLO wa magereza…

Shangazi yangu ni KANALI, mwanae mwizi kinyama…Kashawahi kufumua Wayaringi nyumbani kwao, nyumba nzima…Mama’ke akataka kumpiga bastola [emoji3]..

Yupo jirani mmoja, kwa kuwa anajua kinachotokea huko, mwanae alimaliza RTS mwezi wa 6 mwaka jana, Cadet yupo Msumbiji huko, kagoma kumpeleka TMA kwa kuhofia watamuua…

Sababu, yeye mwenyewe alikuwa mnaa sana enzi anapigisha RTS na TMA [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii tupuu.
 
Huyu mtoto analilia nini??.....
mtoto analilia jeshiii we mfanye niniiiiiiiiii malizia hapoooooo😂😂😂
 
KANEMBWA kambi ngumu sana hii naskia[emoji1787][emoji1787]
Kigoma moko!! Kaka angu alipita pale 2016 kwa mujibu, anarudi kutoka kambini, nyumbani vilio tyuu,

Mama anamlaumu baba, "umeniharibia mwanangu, huyu sio mwanangu wamenibadilishiaa"

Kaka kabadilika kawa km mtu mpya tofauti na yule tuliyekua nae hapo kabla, sasa anasimulia ya huko kambini, mama analia had kwikwiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] famchezo nn,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu kitenge, hapana cna interest kabisaa.
Nilipita kwa mujibu, nako kwa lazima ya mzee.

Labda nipewe gwanda na kitengo, bila kufanya hayo mafekechee ya kuutesa mwili, woiiiih
Lkn mkuu nyie Serengeti c hamkaguliwi mnduku sasa mbn waogopa🤣🤣
 
Back
Top Bottom