Mjukuu wa taifa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 489
- 458
Hii nilidokezwa na mimi mkuu,,, na mbakbaka mmoja wa khnghk ndio kweny usahil ulikua unawalenga hasa cjui n kwel au n kambaSo far haya ndio maelekezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nilidokezwa na mimi mkuu,,, na mbakbaka mmoja wa khnghk ndio kweny usahil ulikua unawalenga hasa cjui n kwel au n kambaSo far haya ndio maelekezo.
Zote mbwembwe muhimu connection tu
Wenye shahada wakuapi tena kwani walopo kihangaiko si madogo wa form6 mkuuKuna nadharia inakuja kichwani degree holder wasibebwe wengi maan waliopo hapo kati saiv n weny shahada na astashahada,,,,,,,,mwenye kuchangia hapa kwenye mtizamo wangu wakuu
Unataka kusema maafande bado hawajapewa nafasi zao za bogi lijalo mkuu?
Mmmh sina imani na hilo sana ila nliwah ambiwa ni form six mixer na hao niliosema hapo juu na walkua wachache Sana kinamba na mpaka sasa walibak wachch sabab______🔐Wenye shahada wakuapi tena kwani walopo kihangaiko si madogo wa form6 mkuu
Kuna mmoja alifariki mwanzoni mwa six weeks wahuku mtaani kwetu ye alkua form6Mmmh sina imani na hilo sana ila nliwah ambiwa ni form six mixer na hao niliosema hapo juu na walkua wachache Sana kinamba na mpaka sasa walibak wachch sabab______🔐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu kitenge, hapana cna interest kabisaa.Ko mwanangu unataka mshati a.k.a kitenge ila kuchunguliwa utak si ndio[emoji23]
Hatariii tupuu [emoji23][emoji23][emoji23]MAE walahi [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu amechikichia eti, sijapentaaaMwanangu nilikua nakusubili ushushe nondo hapa[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nazidi kuvunjika mbavu, khaaahhaya mambo noma snaa, na sio kwamba hana hela , mpunga anao ila amesema hatoi rushwa yoyote, wakishindwa kumsaidia waache, akasema mbna anamwanaye ni director wa nyimbo anaitwa (JOMA),kapambana kwenye mishe nyingine na katoboa [emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii tupuu.Kitu ambacho wengi hawajui, MASOJA wengi wakubwa, hawataki watoto wao wapite huko…
Kwetu tuna WASOJA wawili, wakubwa, ila watoto tunapuyanga tu [emoji3]
Baba’angu mkubwa ni 2-star general, ila aligoma kumpigania mwanaye, now mwanae ni KOPLO wa magereza…
Shangazi yangu ni KANALI, mwanae mwizi kinyama…Kashawahi kufumua Wayaringi nyumbani kwao, nyumba nzima…Mama’ke akataka kumpiga bastola [emoji3]..
Yupo jirani mmoja, kwa kuwa anajua kinachotokea huko, mwanae alimaliza RTS mwezi wa 6 mwaka jana, Cadet yupo Msumbiji huko, kagoma kumpeleka TMA kwa kuhofia watamuua…
Sababu, yeye mwenyewe alikuwa mnaa sana enzi anapigisha RTS na TMA [emoji3]
Apumzike salama,,,,,,,,, Ila mkuu naskia watu wengi Sana waliomba kupita hivi mzigo wa Moto hata waliopo eti hawafik 300Kuna mmoja alifariki mwanzoni mwa six weeks wahuku mtaani kwetu ye alkua form6
Yes Asante sana.Lkn c umeshajua maana ya CP
malizia mkuu😂Mmmh sina imani na hilo sana ila nliwah ambiwa ni form six mixer na hao niliosema hapo juu na walkua wachache Sana kinamba na mpaka sasa walibak wachch sabab______🔐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RTS yanaenda majina ambayo yashaandikwa…
Labda uwe na mkubwa, na huyo awe na watu makao …
Kwa maana hiyo basi, RTS ni sawa uwe na mtu KAMEMBWA JKT..
Hakuna maajabu [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Ushawai pita hata jkt mujibu mkuu maan hujui kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kundi maalamu hua hawafiki hata 500 mara nyingi ni 200 au 300 mbn lipo wazi hilo mkuuApumzike salama,,,,,,,,, Ila mkuu naskia watu wengi Sana waliomba kupita hivi mzigo wa Moto hata waliopo eti hawafik 300
Kigoma moko!! Kaka angu alipita pale 2016 kwa mujibu, anarudi kutoka kambini, nyumbani vilio tyuu,KANEMBWA kambi ngumu sana hii naskia[emoji1787][emoji1787]
Lkn mkuu nyie Serengeti c hamkaguliwi mnduku sasa mbn waogopa🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu kitenge, hapana cna interest kabisaa.
Nilipita kwa mujibu, nako kwa lazima ya mzee.
Labda nipewe gwanda na kitengo, bila kufanya hayo mafekechee ya kuutesa mwili, woiiiih