Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
๐๐๐๐Godlover alikataa kabisa. Anasema jeshini hawaweki namba za simu sasa sijui alituonaje?.. kumbe alitaka waombe wachache ili apate na yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Godlover alikataa kabisa. Anasema jeshini hawaweki namba za simu sasa sijui alituonaje?.. kumbe alitaka waombe wachache ili apate na yeye
๐๐Kwaiyo maombi yanatumwa posta sioo au yanapelekwa kwa mkono๐๐๐๐
Kama wa kike niunganishe naye mkuuAsante Mungu mzigo Tayari umetoka Duuuh Mdogo wangu kupata ni sheria yani
Usikonde, take easyHapana mkuu ni hali ya kujiridhisha angalia saivi chanzo kilicho tupa taarifa kinaaminika Sasa ni Wewe tu ushindwe.
Posta kiongozi ila kuwa makini wasiipoteze๐๐Kwaiyo maombi yanatumwa posta sioo au yanapelekwa kwa mkono
Idadi ni watu mingi sana ata elfu nane wanafika wewe omba utajua mbele uko ukoBogi linachukua mtu ngapi hili mwenye lonja please?
Ukifika Rtiesin Nitafute kwa PM yangu nikuoneshe mdogo wangu ni wakike Ila kivumbi anamishauo sana kuongea tu shida ata kozi sijui atamalizajeKama wa kike niunganishe naye mkuu
Daaaah watatishaIdadi ni watu mingi sana ata elfu nane wanafika wewe omba utajua mbele uko uko
Ukifika Rtiesin Nitafute kwa PM yangu nikuoneshe mdogo wangu ni wakike Ila kivumbi anamishauo sana kuongea tu shida ata kozi sijui atamalizaje
Hahaha namna hiyoNikikosa sipat kitu. Utaninganishe nae mkuu najua nitakutana nae msata pale mana mm na kuroga naroga hii bogi ntakuwepo. Nishachukua chumvi ya mawe, udi sandal, ubani maka na pumbu za nyani jioni hii
Mwanangu kalaga baho we Jkt op gan?Nikikosa sipat kitu. Utaninganishe nae mkuu najua nitakutana nae msata pale mana mm na kuroga naroga hii bogi ntakuwepo. Nishachukua chumvi ya mawe, udi sandal, ubani maka na pumbu za nyani jioni hii
Mwanangu kalaga baho we Jkt op gan?
Nasikia ni mwendo wa SMS ndo maana wamesisitiza kuweka namba ya simuVp haya majina yanachukua muda gani kurudi?
Kwahiyo ukituma maombi wakiona unakizi vigezo unakutana na sms tamu ya wito RTSNasikia ni mwendo wa SMS ndo maana wamesisitiza kuweka namba ya simu
Faza kanisendiiiii๐Sifaham mkuu tukutane msata
๐๐๐๐Ukifika Rtiesin Nitafute kwa PM yangu nikuoneshe mdogo wangu ni wakike Ila kivumbi anamishauo sana kuongea tu shida ata kozi sijui atamalizaje