Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Yaah hao ndo watu tunaowahitaji wazee wa madini🤣Kaka kateleza kidogo tu ila yupo mulemule....kuna mwamba yupo orjolo saiv sahil za Tanapa....kaniambia ni kwel kuna maanga mapya ndio wanamalizia finishing....
soon kinawaka Omar omar mwaga madini una vitu 😄