msolid12
Senior Member
- Aug 12, 2024
- 114
- 267
Kitu ambacho simshauri mtu ni kuhonga hela mana kama mbanga inania ya kukusaidia wala haitaki hela jina tuUkaloge kwelikweli.. kuna mwanangu aliweka hadi kiwanja chake cha milion saba rehani kwa mbanga wampige push atoboe