Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Kwanzia Jtatu wateule Wataanza kwenda Rts au??
Tusubiri j'tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri j'tatu
Simu zitaanza kuita au????Tusubiri j'tatu
Hii kitu nmeiskia sehem kua kwanzia j3 majina yataanza kusomwa vikosinTusubiri j'tatu
Aha sawaah NGOJA tuone itakuwajeHii kitu nmeiskia sehem kua kwanzia j3 majina yataanza kusomwa vikosin
Sikupingi mkuuHii kitu nmeiskia sehem kua kwanzia j3 majina yataanza kusomwa vikosin
Ingawa sina uhakika asilimia 100 maana kipindi hiki lonja znakua nyingiSikupingi mkuu
I heard somewhere luwa tarehe 25 mana kesho tarehe 25. So tusubir tuIngawa sina uhakika asilimia 100 maana kipindi hiki lonja znakua nyingi
Hii Luwa ya Mkoa wa rukwa sumbawangaI heard somewhere luwa tarehe 25 mana kesho tarehe 25. So tusubir tu
Nina anko wang pale luwa leo kaniambia hakuna jambo may be nae kafichwaI heard somewhere luwa tarehe 25 mana kesho tarehe 25. So tusubir tu
Yote heri tu, shamba la Bwana heri mbuzi wa Bwana heri. Kesho naingia Church mapema sanaNina anko wang pale luwa leo kaniambia hakuna jambo may be nae kafichwa
Mambo yameiva ila najua kuanzia hivi sasa majn ypo tayr ila mwezi huu unaweza usihisheHii kitu nmeiskia sehem kua kwanzia j3 majina yataanza kusomwa vikosin
Meno pia kama unamapengoNa wana usaili mgumu nackia wanakagua mpka unyayo aisee co pw?
Unawashauri Nini wenye nayoMeno pia kama unamapengo
Nipo kakaMwachiluwi upo ?
Ahaha waombe Mungu wasiyaoneUnawashauri Nini wenye nayo
Ni swala linaloweza mrudisha mtu ?Ahaha waombe Mungu wasiyaone
KabisaNi swala linaloweza mrudisha mtu ?