msolid12
Senior Member
- Aug 12, 2024
- 114
- 267
Afya ndio muhimu unaweza pimwa tatizo lisionekane ila baada ya kozi kuanza litaonekana tu😂😂😂Mamaee RTS bila maelekezo maalumu sio poa.
Wasipokudaka kwenye ukaguzi wa vyeti basi watakukamata kwenye afya n.k