Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ndugu zangu Izi issue za ajira hua ni ngumu sana atakama una mbanga wa uhakika usijipe asilimia zote maana ata wao hua wanafata utaratibu muda mwingine hawezi tu akaenda ofisi Ya CP na jina lako akampa kwamba dogo apige kozi lazima ajue namna ya kuongea nae( utaratibu). Ndiomana kila mbuyu una njia zake apa kwa haraka imeshapita mwezi tangu deadline ya kutuma maombi ipite ambapo kiuharisia mchakato umeshamalizwa wa kuchambua..labda tu niwape siri kama una mbuyu wako haukupi majibu ya kueleweka jiongeze tu ukiona mpaka mda huu haukupi jibu la kueleweka jiongeze sio adi uambiwe.. huko juu safari hii kumekaza sana kama alivosema yule jamaa bachelor II kuchomeka mtu imekua shida sana.. sikatishi mtu tamaa kama utaitwa kila la kheri
 
Kwa waliopo Makutupora wameniambia watu wa makao makuu walienda jana kufanya usaili wa vyeti,Wakurudi nyumbani wamerudishwa leo,Wanaotakiwa kwenda Msata wanaondoka kesho.
 
Sababu ni vyeti tu maana walikuwa wanaulizwa una cheti cha la saba una leaving yake,Una cheti cha form four na leaving yake una cheti cha jkt.Wanakuuliza ulienda chuo hat kama ukidanganya hukuenda wanajua sijui walikuwa wanafanyaje maana kuna mtu alidanganya akaambiwa tena unadaiwa na mkopo.
 
Hii nchi kuna sehemu imetoboka wakati wanasema wanahitaji jeshi dogo ila la kisasa basi wangeandika tu kama wanahitaji waliofeli form six maana wengi wetu tunakopa nauli kwenda kupambania kisichokuwepo.
 
Kuna miaka mfano 2014 vyeti vya la saba havikutoka sijui kama wanakubali barua ya utambulisho kutoka shule uliosoma
 
Hapo kuhusu walioenda chuo ni kwamba wanakuwa wana access ya watu kutoka tcu ambapo taarifa zako kama ulidahiliwa kuingia chuo zinakuwepo. Hivyo wakiandika jina lako au nida yako tu.
Taarifa zako zote zinakuja.
 
Hii nchi kuna sehemu imetoboka wakati wanasema wanahitaji jeshi dogo ila la kisasa basi wangeandika tu kama wanahitaji waliofeli form six maana wengi wetu tunakopa nauli kwenda kupambania kisichokuwepo.
Watu wamelia sanaaaaa leo walivyokuwa wamepandishwa Magari kurudishwa Dodoma mjini wajitafutie magari kurudi makwao mikoani.Honestly inaumiza sanaaaa.
 
Back
Top Bottom