Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Vijana twendelee kupambana nilikuwa nimekutana na rafik yangu wa muda mrefu sana yeye ni afisa wa jesh , mzee wake col mstaafu na mama yao mjeshi last born wao Yuko jakata katemwa Ana degree mkataba Ana karbia kutoboa dogo Ana stress
 
Nakumbuka mwaka Jana hata hawa wanaotoa ronja awamu hii walikua wamekomalia bogi oljoro mwez wa nane ikaja mwenz wa 11....
Kumbe watu wapo msata hicho kipindi wanaenda wiki ya nne mkesha oct mwishoni wakaapa
Ndio kilichopo hapa sasa bogi mwez wa 11 wataitwa na Bms aya bhana wajuzi wa mambo ngoja tusubili majibu na hizo level tatu zitakavopishana huko vikosini
 
NAcheka kama mazuri wapambanaji ngoma ilishaisha ivo watu ooooh olj ipo 😁😁 nikawauliza kwan nyie ndo ma cdf au na pia nilisema humu hakuna mwenye mbanga wa uhakika.. ambao wa uhakika washatua msata mapema sana
 
Mi nilkuwa nawapa ABC humu kuhusu watu kupigiwa simu toka tarehe 16 Oct wanaenda kuripoti makutupora. Watu wakacrush kinoma ooooh wewe Muongo acha kuropoka,Watu wa mtaani bado wataanza kupigiwa cm tarehe 23,Nikasema sawa bhna acha inyeshe tuone panapovuja.
Tarehe 23 watu wa unfit wakamwagwa kurudishwa nyumbani.
Ngoja tusubiri watu na mimbanga yao walioambiwa simu zitaanza kuita tarehe 23 lbda ni tarehe 23 ya mwez wa 11.
 
Hakikisheni mtakaofanikiwa mvae nyota na vyek vzuri,
Numechake hap luten col mmj kastaafu, kapigwa m600 na za mizigo m 300 😅
 
Kilichoendelea mpaka mkaona simu aziiti japo kuna walioenda kwa maelekezo na ni wachache..baada ya maombi kutumwa MI walifatilia na kugundua kwamba nafasi za uraiani zimeuzwa kwa asilimia kubwa mkubwa alikua anapeleka jina la kijana akidai ni ndugu kumbe kapiwa hela ili kuepusha ufanisi wa kazi jamaa wamepiga chini nafasi za uraiani kuitwa hivo wamedili na watu wa makambini tu kwa asilimia kubwa kwaio mpka sasa ivi usitegemee kupigiwa simu kuitwa..
 
Back
Top Bottom