Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mwenyezi Mungu akipenda kozi msata Kama hakutatokea chochote itaaza tar.28 mwezi huu.vijana wote wameshajaza fomu yaajira.
 
Mwenyezi Mungu akipenda kozi msata Kama hakutatokea chochote itaaza tar.28 mwezi huu.vijana wote wameshajaza fomu yaajira.
Ndugu yangu, mbona uku msata hatuna taarifa hizo wewe umezitoa wapi?
 
Uchambuzi wa majina unaenderea. Point ya kunote USAILI WA VYETI ULISHAFANYIKA KWENYE KAMBI ZOTE ZA JAKATA.
 
Mwenyezi Mungu akipenda kozi msata Kama hakutatokea chochote itaaza tar.28 mwezi huu.vijana wote wameshajaza fomu yaajira.
Aiseeee kijana unatumia kilevi gani??
Mwanzo ulidai kozi ni tarehe 7 nikakukanusha saivi unakuja na nyingine ya tarehe 28 huu ufuska unautoa wapi¿¿¿
 
Unfit wanatoka wapi? Hao vijana kwaza walipimwa toka wakiwa vikosini mnapenda wawe munfit eti imetoka hio mzee
Usisimulie usichokishuhudia ona sasa unavyo bwabwaja kama una kiazi Cha moto mdomoni,,,,,, unfit hawajasomwa sababu wote usahili wa vipimo haujakamilika na unapoambiwa usahili unaendelea sio huo tu ikiingia pale unahakikia details zako kwanza sasa ndugu yetu kiongozi unawapa vijana moto kweli.
 
Back
Top Bottom