Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hizo nafasi kama huna channel ya rushwa na undugu humo ndani ,sahau kabisa
Fanyeni issues nyingine
 
LEO NIMEKAAA NKAANZA KUSOMA JUMBE ZA TOKA MWAKA JANA MBAKA ZA LEO NIMEGUNDUA KUWA WATU WALIKUA WANASUBILI KUITWA HADI LIKATOKA TANGAZO JIPYA MBAKA SASA NGOMA NGUMU HII NI SAWA NAKUSEMA KUWA HAPA NI KUSUBILI TANGAZO JIPYA NB: KAMA MBANGA YAKO NI MAJI MAREFU AU ANAWEZA BASI ENDELEA KUSUBIRI..... ILA KAMA NI 😂😂😂 JUA KUWA KAZI KWISHA✍️ NAOMBA KUWASILISNA!!🙏🙏🙏
 
Vip ww una mbanga mkuu?

Back
Top Bottom