ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Ni kweli chenja zimeaza Leo balaa tuwaombee vijana wetu wamalize kozi salama.maana Kuna vijana wachache wajinga wanefukuzwa sababu ya wizi wa kuvunja matrunker ya wezao na simu.Kesho vijana kihangaikoni wanaanza bure kitendo.