Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hivi mmesha kata tamaaa kiasi hiki jamani daaaah tuwe wazalendo kama mwanzo jamani mbona morali zimeshuka hivi!!!!
 
Ata wakati unaenda fatiki mwanzo watu tunakua na moraliii ila baada ya DAKIKA kadhaaa unakun morali hakuna
 
Kwan wale waliokua Dodoma kwenye usaili wao walikua wanafanya usail wa nin??
 
Back
Top Bottom