Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Tunaomba majina ya hao viongozi Wakristo wasio wazalendo:
1.
2.
3
 
Kwenye hii list ya 'mafisadi' Samia umemuacha bahati mbaya au umekusudia?
 
Katika hao, nani amesababisha tukatiwe umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…