Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Nyerere usimfananushe na wahuni.
Kila taifa Lina Nabii wake na mbeba maono anayeweka dirá ya Nchi.
Nyerere ndiye aliyewekwa na Mungu kuweka mweleko Wa Nchi Hii.
Mwisho Wa Yote Tanzania litakua Taifa kubwa sana Kutokana na misingi aliyoiweka Mwalimu.
Leo WATANZANIA Karibu Wote wanamiliki ardhi Zao za asili Kwa Sababu ya Mwalimu kuwanyanganya mashetani waliotoka uarabuni na Ulaya na kuja kukalia ardhi ya waafrika walipewa na MUNGU.

Hivi WATANZANIA mil. 61 wangeishije Kama wangekua Hawana ardhi ya kulima na kujitafutia riziki Zao?

Kwa Mfano Ardhi anayomiliki No Wa Simba ni kubwa usawa Wa karbu Wilaya mbili kubwa . Je, wangeachwa Matajiri mia Mbili Nchi nzima . Wabakie wale waliomikiki maelfu ya mashamba ya Korosho Kule Kusini. Malaki ya hekari za mashamba ya ngano,Mahindi,maharage na shayiri, maelfu ya mashamba ya mpunga Kule mbarali, maelfu ya mashamba ya Pamba Kule shinyanga na Mwanza, maelfu ya ekari za mashamba ya Tumbakuku Kule Tabora . Mamia ya ekari za mashamba ya Kahawa Kule Kilimanjaro n.k.
Na Kwa utajiri wao wangekua wanaongeza mashamba Kila Siku .
Ni Shetani tu na mawakala wake ambao wanamsujudia Kwa ajili ya Mali za Dunia ámbao hawaoni kuwa kama SIO Mwalimu Nyerere WATANZANIA hasa Watanganyika tungekua watumwa kwenye mashamba na Viwanda vya Wageni milele kwenye ardhi aliyotupa MUNGU .

Maandamano ya Kudai ajira , mishahahara Dunia ,Makazi Duni, huduma Dunia za afya n.k yasingekoma.
Tungekua tunaishi kama waafrika wenzetu kule Afrika Kusini.
 
Dr. Abdalah kigoda alikuwa mseminari
 
Una inferiority complex!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hao Jamáa na genge lake walikua wananunua ardhi ekari Moja Kwa Sh.mil. 2 kisha wanauzia NSSF Kwa bil. Moja.
Ndiyo maana akasema wasomi hao minions kwa Rome wanalifelisha taifa. Walipaswa wazibe mianya kama hiyo. Amka usingizini, tafadhali.

Siku hizi MTU anaiba kisha anajitokeza kufanya shughuli za kidini na kupigiwa makofi badala ya Kupigwa makofi.
Hii nimeipenda; umekuwa mwanamashairi nawe kama Dante. 🙂
 
Mwambie huyu Pimbi.Kasahau Mwinyi aliuza Loliondo kwa Waarabu na huyu mwingine kauza Bandari huko huko sasa sijui walisoma Seminar zipi ?.
Na Mkapa je?Tena Bora hizo za mwinyi ni story za vijiwe vya mwamposa,Mkapa alikuja kukiri mwenyewe msomi wa kanisa yule kuuza mashirika ya umma Kwa bei cheeh...
 
Wanaojiita walisomea Seminari upuuzi mtupu
 
Ndiyo maana akasema wasomi hao minions kwa Rome wanalifelisha taifa. Walipaswa wazibe mianya kama hiyo. Amka usingizini, tafadhali.


Hii nimeipenda; umekuwa mwanamashairi nawe kama Dante. 🙂
Ha ha ha,Kawa Dante Alighieri,teh teh teh...

Before me,there were no created things...


Ha ha ha,man needs to look smart either at the time to get married or buried....
 
Shida ni ccm.
 
Bora sisi tunazalisha watu wa madrasa ambao ni wazalendo kwa waarabu. Uongo? Inshallah tutafika tu siku moja uarabuni.
 
Moderators hivi mumekubali mtu mmoja alichafue jukwaa hili kila siku kwa mada zake muflisi kulitukana Kanisa Katoliki na Ukristo kwa ujumla wake? Anawalipa kiasi gani hadi mnamruhusu kufanya jukwaa kama kijiwe cha kuukashifu Ukristo? Jee mtatuvumilia wengine tuanze kumwaga shombo kwa Uislam? Tusifikishane huko ila kama mtaendelea kumhamasisha The Big Show atudhalilishe hapatatosha. Pigeni life ban huyu mkorofi.
 
Wanaojiita walisomea Seminari upuuzi mtupu
Exactly, exactly...uozo mwingi sana katika utumishi wa umma hawawez kukwepa hawa wasomi wa kanisa,Mimi nafurahi Kwa wakati mwingine si wanasema sisi hatuna shule?Sasa wao wenye shule tunaona uozo wanaofanya katika utumishi wa umma,wizi,madili,rushwa na ufisadi...Kisha hodari wa kutoa sadaka makanisani....
 
Seminari sijui JKT uzalendo ni bosheni tu.
 
Oooh pole sana Mkuu kama nimeumiza hisia zako.

But,hili ni jukwaa huru kutoa mawazo yako,wapi nimeudhalilisha ukristo??

Kwani ni uongo kuwa kwenye utumishi wa umma wengi ni nyinyi??

Na je wewe unaridhika na weledi wa hao watumishi?
 
Katoliki kama kawaida yao anataka tena kutumia mamlaka kuzima ufisadi wake usitajwe. Huku ni kufilisika fikra.
 
Seminari sijui JKT uzalendo ni bosheni tu.
Magufuli alianzisha zoezi la kuhakiki watumishi hewa na watu walioghushi vyeti na kujipatia ajira kipindi kileee.

Kuja kutahamaki Majibu yake loooh,wengi wao ni vijana wa kanisa,Hali ikaja kuwa mbaya sana katika kuwachomoa wezi wale,hawakuamini walichokiona kabisa.
 
Na huyu mama yako naye aliyeruhusu ufisadi kutamalaki nchini, amesoma shule gani ya Kikatoliki?
Tena akifeli form four ndio maana anataka kusiwe na mitihani kuanzia darasa la kwanza Hadi form four.
Loliondo iliuzwa na mkiristo, mkataba wa iptl, dowans kuuza bandari walikuwa wakiristo. Hawa vipaza ni shoda kuwapa nchi.
 
Na makonda pia ni kijana wa kanisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…