Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

Tena akifeli form four ndio maana anataka kusiwe na mitihani kuanzia darasa la kwanza Hadi form four.
Loliondo iliuzwa na mkiristo, mkataba wa iptl, dowans kuuza bandari walikuwa wakiristo. Hawa vipaza ni shoda kuwapa nchi.
Proposal hizo lakin kapeleka msomi wa kanisa Pofesa Adolf mkenda kumbuka.

President yeye ni mpitishaji tuh wa hizo policy, remember Kuna policy makers,na hao ndiyo hao wasomi wa kanisa tunaowasema.
 
Tena akifeli form four ndio maana anataka kusiwe na mitihani kuanzia darasa la kwanza Hadi form four.
Loliondo iliuzwa na mkiristo, mkataba wa iptl, dowans kuuza bandari walikuwa wakiristo. Hawa vipaza ni shoda kuwapa nchi.
Kweli mimi ni mkatoliki nakubaliana kw akiasi kikubwa na hoja za mleta mada ila hawa wengine uliowataja hapa ni Mtihani Mkubwa sana.

Waislam wanasema inna Lilahih wa inna illah raj'un
 
Nyie akili zenu za madrasa hamuwezi kunielewa
Madrasa to us,it's the source of all wisdom and knowledge,tunashangaa kanisa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamegeuka kuwa vibaka wa Mali zetu za umma.
 
Kweli mimi ni mkatoliki nakubaliana kw akiasi kikubwa na hoja za mleta mada ila hawa wengine uliowataja hapa ni Mtihani Mkubwa sana.

Waislam wanasema inna Lilahih wa inna illah raj'un
Ha ha ha...

Man needs to look smart either at the time to get married or buried...

Allahu Akbar...!
 
Katiba yetu ndio inatoa nafasi ya kutokuwa na viongozi wazalendo.
Haiwabani , Haiwashitaki
 
Na Mkapa je?Tena Bora hizo za mwinyi ni story za vijiwe vya mwamposa,Mkapa alikuja kukiri mwenyewe msomi wa kanisa yule kuuza mashirika ya umma Kwa bei cheeh...
Kukiri ni uungwana mkubwa na ni ujasiri.

Hata mwinyi alikiri kuwa waliua Azimio la Arusha na kuruhusu kweka soko huria badala yake likawa Soko holela.
Alisema alifanya Kwa Nia njema kama MTU anayefungua Dirisha ili hewa iingie ndani lakini mbu na nzi hutumia mwanya Huo kuingia ndani pia.

Kwa hiyo Hata mwinyi alikiri kuwa kuna MAHALI alikosea na Mkapa pia.
Yote hakukiri Kwa Babu Ya Dini yake Wala Kanisa Katoliki Bali ni udhaifu Binafsi unaotokana na mamlaka aliyopewa na Katiba na Chama chake.
 
Asante sana,tupo pamoja...

Besides, hatuwezi kuwatwisha Moja Kwa Moja hawa viongozi wakuu wa Taifa kama Maraisi.

Lakini Maraisi wanakuwa na washauri na watumishi wanaotengeneza sera na kuongoza Taasisi niaba yake.

Watumishi hao wengi ni wasomi,na wasomi ndani ya Taifa hili wengi ni Zao la wasomi wa kanisa,hapo ndiyo unakuja hoja kuwa wameshindwa kulisaidia Taifa HILI.
 
Hao 🌈 kwani wanajali Hilo? Ilimradi kwao pesa safi na Chafu imeingia.
 
Watumish wenyewe ccm sasa hamna kitu hapo.

They only look into what the earn at their belly level.
 
Nyie akili zenu za madrasa hamuwezi kunielewa
Ndivyo mnavyosema hata kwenye madili & upigaji. My friend, Rome is irredeemably corrupt. Halafu top tens ndio wale wanajiita viongozi wa dini.

Wanavyopotosha Ukristu na kuudhalilisha, ndivyo wanavyofanya hadi kwenye masuala ya umma.

Rejea nukuu ya mfilosofia Dante; huo ni unabii wenu 100% unawahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…