inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Tumjibu hoja yake, bakwata Kuna palikua Hadi na wakiristo wakijifanya waislam huko nyuma,kiasi Cha gari la bakwata kubeba bia,bakwata ni tawi la idara za kikachero,siyo mfano stahiki hapaWewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
We jamaa mpuuzi kweli na udini wako, Nyerere alimuamuru mpwae aliyekua Waziri mkuu kurejesha pesa alizohongwa na watu wa ushirika, mfanyabiashara mgiriki alitamba kuweka mfukoni serikali ya Nyerere (rushwa) kabla ya Nyerere kuvhuna uso' kwa kumtia ndani,mwingi serikali haikuwa ikikooesheka kwa madeni,huo msaada mkubwa ulitoka wapi!?..na fisasi gani aliupora,ati awamu ya tatu rushwa na ufisadi vilipungua,ulikuwepo!?..awamu ya tatu ndiyo watanzania walikubuhu kwa wizi na ufisadi,huko CCM rushwa wakaibatiza takrima, NBC iliuzwa Bei ya kutupa kwa makaburu Kisha wakampa mkapa mkopo wa 100m,hii ni 1990s,mashirika yote ya umma yaliuzwa,la ndege likiuzwa kwa thamani ya beberu 11,migodini mrabaha ulikua 3%,huku mkapa alipewa koleo na tofali la dhahabu pale resolute nzega..na mengine mengiSikubaliani na hoja yako kwa sababu kadhaa.
Yawezekana proportionally kwenye uongozi na utumishi wa umma, wakristo walikuwa wengi kuliko waislam, lakini ukweli ni kwamba haijawahi kutokea wakati wowote ambapo nchi hii iliwahi kutawaliwa na watu wa dini moja au taasisi za Serikali zikaendeshwa na dini moja.
Tukiangalia kwa umakini, viongozi na watumishi wengi wa nchi, awamu ya kwanza, walifanya kazi kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu, hata maisha yao yalikuwa ya kawaida sana.
Uzalendo na uaminifu viliporomoka kwa kasi wakati wa awamu ya pili. Wakati wa awamu ya pili ndio nchi ilipokea misaada mingi na mikubwa kuliko awamu nyingine yoyote. Wastani wa misaada ulifikia dola 625 kwa kila raia lakini inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya pesa yote iliishia mikononi mwa mafisadi.
Awamu ya 3, wizi na ufisadi ulipungua kwa kiasi, lakini ukaja kupaa wakati wa awamu ya 4, na umeendelea kuwa mkubwa zaidi mpaka leo. Hawa wanaoyafanya hayo wamesoma kwenye shule za umiliki tofauti tofauti. Kwa hali ilivyo, hakuna cha muislam wala mkristo, wala mpagani, yote ni majizi. Hata ukitazama kwa uchache tu ambao ama ni wezi, mafisadi au waporaji wa mali za watu, wanaoingia mikataba ya hovyo kutokana na kupewa rushwa kubwa, unauona mchanganyiko wa wazi.
Makonda - mkristo
Majaliwa - muislam
Mbarawa - muislam
Biteko - mkristo
Mchengerwa - muislam
January - mpagani
Lowasa - mkristo
Abdul - muislam
Kinana - muislam
Bashe - muislam
Mwigulu - mkristo
Dau - muislam
Malima - muislam
OK,nimekusoma kumbe wewe ugomvi wako ni Kanisa na sio mfumo unaoifukarisha nchi. Nafikiri huu mjadala wako ungefaa upelekwe Jukwaa la Dini.Hapana,I think wewe unayo point...
Ila huo ni mjadala mwingine tofauti kabisa na huu ambao Mimi nausimamia hapa.
CCM ni chama Cha siasa ambacho kazi yake ni kunadi sera zake ili iweze kuongoza serikali au Dola
Watumishi wa umma ambao ni waajiriwa wa CCM kama Cha siasa wametokana na usomi wao,usomi huo ni Zao la shule za kanisa takribani miongo 40 na zaidi .
In fact hata wakija chadema na chama kingine,watumishi wataowatumia ni hawa hawa,hawatatoka sayari ya Pluto.
So,hawa wasomi wetu ambao wengi ni Zao la kanisa Bado Wana wajibika kulitia kanisa matatani...
Huyu ni mfia dini miaka mingi sana na wajinga wenzake kama wanne hivi..OK,nimekusoma kumbe wewe ugomvi wako ni Kanisa na sio mfumo unaoifukarisha nchi. Nafikiri huu mjadala wako ungefaa upelekwe Jukwaa la Dini.
Hizo ni accusations ambazo huwezi kuzikwepa Mkuu.Mgao upi ulienda kanisani? Pesa kupewa padri kama zawadi na rafiki yake haiwezi kuwa pesa ilienda Kanisani.
Hebu tuambie kanisa lipi lilipokea pesa ya Escrow officially? kisha somebody akapokea kwa niaba ya kanisa? usiropoke tu.
Au hutaki mapadri wawe na marafiki? na kama unaona issue ya Escrow ilikuwa tatizo, tuambie; nani alikuwa kiongozi wa nchi wakati ule? na kwanini akanyamaza kimya? au kanisa ndio liliwafundisha ndugu zako katika imani kuwa dhaifu ili liombe radhi pia?!
Majibu tafadhali.
Hapa unakiri ndugu zako katika imani wakiongoza nchi huwa dhaifu sana, ndio maana mmeishia kulalamika miaka yote, hamna vitendo vyovyote, hata kujenga nursery hamuwezi sembuse vyuo na mahospitali!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Exactly,je mfano chadema ikishika Dola unadhani hawa wasomi wa kanisa wataacha hulka waliyoizoea ya wizi?OK,nimekusoma kumbe wewe ugomvi wako ni Kanisa na sio mfumo unaoifukarisha nchi. Nafikiri huu mjadala wako ungefaa upelekwe Jukwaa la Dini.
Hayo yote hayajajibu facts.
Tunaenda kwenye utumishi wa umma HASA tukirudi kwenye kizazi Cha miongo 40 iliyopita hadi hivi Sasa.
Asante Sana...We jamaa mpuuzi kweli na udini wako, Nyerere alimuamuru mpwae aliyekua Waziri mkuu kurejesha pesa alizohongwa na watu wa ushirika, mfanyabiashara mgiriki alitamba kuweka mfukoni serikali ya Nyerere (rushwa) kabla ya Nyerere kuvhuna uso' kwa kumtia ndani,mwingi serikali haikuwa ikikooesheka kwa madeni,huo msaada mkubwa ulitoka wapi!?..na fisasi gani aliupora,ati awamu ya tatu rushwa na ufisadi vilipungua,ulikuwepo!?..awamu ya tatu ndiyo watanzania walikubuhu kwa wizi na ufisadi,huko CCM rushwa wakaibatiza takrima, NBC iliuzwa Bei ya kutupa kwa makaburu Kisha wakampa mkapa mkopo wa 100m,hii ni 1990s,mashirika yote ya umma yaliuzwa,la ndege likiuzwa kwa thamani ya beberu 11,migodini mrabaha ulikua 3%,huku mkapa alipewa koleo na tofali la dhahabu pale resolute nzega..na mengine mengi
Napenda mjadala na mtu wa aina yako,hakika naenjoy sana tafadhali naomba tuendelee...Ungenionesha kivipi hayana facts maana ukisema miongo ninne nyuma unakutana na 1980's ambao ni mwanzo wa kizazi cha millenials lakini pia ni kipindi cha ujamaa
ambacho kwa kiasi kikubwa kiliondoa dominance ya shule za kikatholiki hata kwa kuzitaifisha shule baadhi..
Kwa hiyo maswali yangu ni relevant na Kama ulikuwa hujanielewa
nilikuuliza hayo maswali makusudi ili tujue tatizo ni elimu iliyotolewa na kanisa au tatizo ni mfumo wetu wa kifisadi tuliouhalalisha kama taifa
Kwa sababu huwezi kutoa conclusion moja kwa kulilaumu kanisa kama mtoaji wa huduma badala ya kuangalia huo mfumo katika social setting ambayo ndipo tatizo lilipo kwa kiasi kikubwa. Maana hakuna anaepewa elimu ya kifisadi bali anaamua kuwa fisadi kwa matakwa yake binafsi
Ila Ungeweza kulilaumu kwa kanisa kwa kuonesha
Ni sehemu gani ya elimu iliyoitoa ilichochea products zake kuwa za mafisadi maana hata leo hii, ukizilinganisha products za seminari na shule za kawaida kwa upande wa nidhamu.. Utaifuta hii thread yako
Kwa hiyo ingefaa utuoneshe sehemu gani ya elimu iliyotolewa na kanisa ilikuwa wrong. Kama hakuna bhasi uyasemayo ni baseless facts au umetumia hisia sako binafsi dhidi ya kanisa kulilaumu
Wengi wao Hilo jambo hawalijui,ila muda unavyokwenda taratibu wataufaham uhalisia.Tumjibu hoja yake, bakwata Kuna palikua Hadi na wakiristo wakijifanya waislam huko nyuma,kiasi Cha gari la bakwata kubeba bia,bakwata ni tawi la idara za kikachero,siyo mfano stahiki hapa
Wengi wao Hilo jambo hawalijui,ila muda unavyokwenda taratibu wataufaham uhalisia.Tumjibu hoja yake, bakwata Kuna palikua Hadi na wakiristo wakijifanya waislam huko nyuma,kiasi Cha gari la bakwata kubeba bia,bakwata ni tawi la idara za kikachero,siyo mfano stahiki hapa
Mifumo ya kuwadhibiti na kuwaadabisha ipo,tatizo hawa wanachekeanaExactly,je mfano chadema ikishika Dola unadhani hawa wasomi wa kanisa wataacha hulka waliyoizoea ya wizi?
Because, how you do anything is how you everything.
Very, very, very, objective comment! huu ndio ukweli, wengine wanakuja kutetea imani zao kwa hoja dhaifu wakijua ndio wanasaidia kumbe wanaharibu!Kwa asili binadamu wote ni wahalifu.
Binadamu Wote ni wabinafsi Kwa asili.
Binadamu Wote wanapenda kuheshimiwa na kusifiwa au kutukuzwa .
Binadamu Wote wanapenda kumiliki Mali nyingi bila kikomo.
Binadamu Wote wanapenda starehe .
Binadamu Wote wanapenda kuwa Juu ya wengine na kutawala wengine.
Binadamu Wote ni Sawa Kwa asili Yao na ubinadamu wao.
Tatizo la Wizi ,ufisadi na Matumizi mabaya ya madaraka lililojitokeza Baada ya mkoloni kuondoka halitokani na kanisa Katoliki Bali mifumo na Katiba iliyozalishwa na Chama cha Mapinduzi.
Waarabu , Wazungu,Wachina ,Wahindi Wote wameendelea SIO Kwa Sababu ya Dini Zao Bali Kwa Sababu ya Sheria Kali zinazowaadhibu wale wanaoiba na kuchezea Mali za umma.
Waarabu na wachina wakiwa kwao hawavunji Sheria Wala kukwepa Kodi lakini wachina na waarabu Hao Hao wakiwa Tanzania wanaoshirikiana na watawala kuvunja Sheria na kukwepa Kodi Tena kupitia udhaifu Wa Sheria.
Mtanzania Huwezi kwenda Italia au Saudí Arabia au China au India ukapewa Ardhi yenye Ukubwa Wa Jimbo la uchaguzi kirahisi rahisi lakini Watu Hao Hao wanatumia Sheria dhaifu inayompa mamlaka MTU mmoja kutoa maamuzi ya ardhi Yote ya Nchi . MTU ámbaye hashitakiwi anapotoa maamuzi yake ama Kwa upendeleo au Kwa maslahi Binafsi
Hapo sio Tatizo la Dini ya MTU Bali Sheria na Katiba ya hovyo inayowapa mwanya watu Wachache kufanya wanavyotaka bila kuulizwa .
Nchi Hii mpaka Sasa umetawaluwa na kuongozwa na viongozi Wa Dini mbili ambazo ni ya kiislam na Kikatoliki. Na Wote wanatumia Katiba ile ile inayowapa watawala mamlaka makubwa Kama miungu. Hata hivyo watawala Wote Hao hakuna aliyetumia Dini yake kujenga misingi ya uadilifu kupitia Sheria na Katiba Bali Karibu Wote walitumia udhaifu Wa Katiba Kwa manufaa Binafsi au manufaa ya Chama Wakati Wa uchaguzi Ili kubakia madarakani.
Kuna wasomi Wakatoliki waadilifu kama Waryoba na kuna wasomi Waislam waadilifu kama Shivj .
Kuna Wakristo waliojaribu kupinga mifumo mibovu wakapingwa sana na Waislam wengi Kwa maslahi Binafsi na pia kuna Waislam waliojaribu kupinga mifumo mibovu inayolea ufisadi lakini walipingwa sana na Wakristo wengi.
Nyuma ya Yote ni udhaifu Wa Sheria .
Mwalimu Nyerere alijaribu kutumia Mamlaka yake kupambana na genge la Wezi Kwa kuwabana bila kuweka mifumo endelevu Kwa kuanzisha azimio la Arusha kisiasa badala ya kikatiba na kisheria lakini pia ndani ya mifumo ya wasimamizi wa Sheria na watawala .
Mwinyi alikuja akiwa Muislam lakini akafanya ale Yale ya kubeba maslahi Binafsi na chama na kubaki na Katiba ile ile ya mkoloni. Matokeo yake akashindwa kabisa kuwabana Wezi na Mafisadi ambao Dini Zote zinawakataa na kidini Wezi Wa Mali za umma wanapaswa kuuawa na SIO tu kufukuzwa kazi.
Wakoloni walikuja Kama waavyokuja leo Waarabu na wahindi na Wachina.
Waarabu wakija wanawekeza lakini wanatoa huduma za kijamii kama kujenga misikiti na visima vya Maji n.k.
Wakoloni wao walijenga shule na Hospitali.
Mwarabu akijenga msikiti hajalazimushwa ni Kwa manufaa ya KAZI zake na Imani yake kudhibiti wafanya KAZI wake kupoteza muda mwingi Wa kwenda mbali Kwa ajili ya kuswali. Yote ni mbinu za Wakoloni Wa zamani na Wa Leo bila kujali Dini Zao.
Waisama ni Karibu nusu ya WATANZANIA Wote. Halikadhalika Wakristo lakini cha ajabu Wote wanaposhika Madaraka kwenye idara Zote Hawana Tena muda Wa kuweka Sheria Kali za kudhibiti Wezi Kwa kutoa adhabu Kali Bali wanatumia udhaifu Wa Sheria kuiba.
Halo utalilaumu vipi kanisa Katoliki.?
Wasomi wengi waliopo madarakani ni wale waliosoma shule za Serikali na SIO za Binafsi ikiwemo za Dini.
Wasomi waliosoma shule za Dini wengi walikua Enzi hizo ambazo Hata chuo kikuu lilikua kimoja.
Leo Dini Zote zina mashule na vyuo lakini Bado wasomi wake wanatumia udhaifu Wa Sheria za Nchi na Kubebana kupitia CCM na kulihujumu taifa na SIO kanisa Katoliki.
Tena Kanisa Katoliki Kwa muda Mrefu wamepinga sana uhuni na Wizi unaofanywa na watawala na wale wenye nafasi za Juu serikalini lakini wamekua walipingwa na baadhi ya mashekhe Kwa manufaa yao Binafsi huku wakiacha Sheria mbovu ziendelee kuwabeba wahuni .
Shukrani mkuu kwa compliment yako 🙏🏽Napenda mjadala na mtu wa aina yako,hakika naenjoy sana tafadhali naomba tuendelee...
Hoja zangu kwanza siyo baseless,nasema hivyo Kwa sababu suala la elimu na Zao la hao wasomi it's direct proportion...
Elimu unayoitoa na product unayozalisha ni vitu vinavyoshahabiana Moja Kwa Moja.
Elimu siyo tuh kutoa doctors,engineers,pilots, professors na kadhalika,suala la elimu linaenda na purpose,msomi anatakiwa akitoka kwenye kuhitimu elimu yake atambue kuwa kulitumikia Taifa ni ibada,akiwa mtumishi ni wajibu wake kutambua kuwa ni dhambi kula rushwa,ni dhambi ufisadi,dhambi kuingia mikataba mibovu na kadhalika...
Kuna muda ilifikia hadi watu wakawa wanasema ukiajiri waislam ofisi yako inakuwa huru na wizi na ufisadi,sisemi kuwa kanisa linasema wasomi wake waibe hapana,ila ni ukweli ulio wazi kuwa hao wasomi wa kanisa ndiyo zaidi ya asilimia 90 wamejazana kwenye utumishi wa umma,na ona wanachokifanya siku zote ni kipi zaidi ya kulitia taifa hasara??
So,kusema kwamba nikuoneshe sehem ambapo elimu ya kanisa inatoa wazi wazi wasomi ambao ni wezi ni kudenie ukweli ambao upo wazi kabisa.
There have been a number of scientists and philosophers who have been killed by the church and religions throughout history. Some notable examples include:
- Hypatia: (c. 350-415 AD): Greek mathematician, astronomer, and philosopher who was the first woman recorded in Western history to have taught mathematics and philosophy. She was killed by a mob of Christian fanatics in 415 AD.
- Giordano Bruno: (1548-1600): Italian Dominican friar, philosopher, mathematician, astronomer, poet, and cosmologist. He was burned at the stake by the Inquisition in 1600 for his heretical beliefs, which included the idea that the sun was at the center of the universe and that there were other worlds beyond Earth.
- Galileo Galilei: (1564-1642): Italian astronomer, physicist, and engineer who made significant contributions to the scientific revolution. He was put on trial by the Inquisition in 1633 for his support of the Copernican heliocentric model of the universe. He was forced to recant his views and was placed under house arrest for the rest of his life.
- Michael Servetus: (1511-1553): Spanish physician, theologian, and scientist who is considered to be one of the founders of modern physiology. He was burned at the stake by the Calvinists in 1553 for his anti-Trinitarian views.
- Jan Hus: (c. 1369-1415): Czech priest, theologian, philosopher, and reformer who was one of the early precursors to the Protestant Reformation. He was burned at the stake by the Catholic Church in 1415 for his heretical beliefs.
Hapa umekandawija, awamu ya 5 hukuipambanua makusudi kwa kuwa humpendi yule jamaa wa awamu ile. Lakini ukweli ni kwamba ufisadi wakati wa awamu ya 5 ulipigwa vita kali sana kiasi kwamba kuiunganisha awamu wa 5 na awamu za 4 na 6 siyo kutenda haki.Awamu ya 3, wizi na ufisadi ulipungua kwa kiasi, lakini ukaja kupaa wakati wa awamu ya 4, na umeendelea kuwa mkubwa zaidi mpaka leo.
Ukatoliki daima hoja yake ni kufinyanga uongo mwanzo mwisho. Chochote kinachoweza kutetea msimamo wake potofu kwake ni ruksa.Sio hapa nchini, na dunia kwa ujumla, hili kanisa ni mashetani wameuwa sana wana sayansi duniani, akiwamo nguli Galileo Galilei
Ungekuja na comparative analysis ya jinsi mifumo ya utawala inavyotegemea elimu ya waajiriwa. Elimu ya darasani tuliyo nayo Tanzania siyo ya kidini. Mimi nimesoma shule za kanisa na nilkuwa pamoja na wanafunzi wengi wa imani ya kiislamu tukipewa elinu hiyohiyo. Hata Mohamed Said kasoma Saint Joseph School aka Forodhani enzi hizo ikiwa bado chini ya Kanisa, pamoja na shule nyingine ya kanisa Kilomanjaro (jina sikumbuki) tena ya boardingFriends and Our Enemies,
Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...
Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.
Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.
Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.
Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.
Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.
Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.
Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.
Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.
Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??
Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.
Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Asante Kwa kinijuza Mkuu Mimi nilikua sijui kabisa, Kwahiyo na sisi waislam tujiandae pia kupokea Tamko la Papa kuhusu Sodomy siyo??
Nashukuru sana Kwa elimu yako hii...