Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
 
J.K.Nyerere ni SI unit ya performance bora ya uongozi

Lakin sasa kujaribu kulitumia hilo jina kufanikisha agenda za kisiasa ni ujinga na ushamba ulio kubuhu?
 
Huyu mzee anatabia ya kutumia jina la Nyerere kwenye maslahi yake tu tena binafsi

Back
Top Bottom