Ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa na kupewa siku yetu ya mapumziko?

8/8 ni siku ya kina nani?
 
imefika sasa ninyi mnaojiita watanganyika mmekuwa midebwedo kila kitu kulalamika hata kabla hujajipa muda kufikiri. Mmekuwa watoto wa mama.
 
Labda hakusoma Form 2 Geography Topic ya Agriculture ambayo ni Livestock keeping na Farming

Humo wanaongelea hadi Fishing in Japan
Tunataka sikukuu yetu
 
Tunataka sikukuu yetu, acheni siasa
 
Tunataka sikukuu yetu, acheni siasa
Inamaana mpaka leo huna sikukuu? Chinja unachofuga nunua mvinyo laini enjoy na familia/marafiki. Hakikisha muziki laiiiiini uko karibu. Sikukuu ni kila siku bwashee
 
Agriculture is the human activity which deals with crop cultivation and animal keeping. Geography Form 3. Nyie ndo mlikua mnaunguza wenzenu na mbegu za ubuyu darasani wakati mwalimu anafundisha.
Mkuu agiza k vant kubwa nitalipa huo ujinga wa kuchoma watu na mbegu za ubuyu umenikumbusha mbali
 
wavuvi especially wa baharini huwa ndan ya mwezi kuna masiku ya mapumziko kulingana na pepo za bahar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…