mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao.
Nawasilisha!
Nawasilisha!