mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Baada ya kukwapua kura mnajifanya wajanja! Chaguzi bado zitakuwepo huko mbele,ila kwa kuwa mnapanga kukwapua tena Hanna sababu ya kupangiwa.usitupangie
Mkakubali kukwapuliwa? msitulaumuBaada ya kukwapua kura mnajifanya wajanja!Chaguzi bado zitakuwepo huko mbele,ila kwa kuwa mnapanga kukwapua tena Hanna sababu ya kupangiwa.
Usimwamshe aliyelala...
Mitano tenaNajisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu.Naombeni Wahusika huko Tamisemi mtoe Tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao.
Nawasilisha!
Tatizo ni pale anapolaumiwa aliyeibiwa huku mwizi akilindwa na kushangiliwa kwa kuiba bila kukamatwa.mkakubali kukwapuliwa? msitulaumu
Afrika bado hatuwezi kujitawalaTatizo ni pale anapolaumiwa aliyeibiwa huku mwizi akilindwa na kushangiliwa kwa kuiba bila kukamatwa.