Is the Other Way round. Jussa huwa anaongea kwa hasira na machukizo labda kwasababu ya Mababu zake wa Oman walivyonyang'anywa Visiwa vya Zanzibar na badala yake vikajiunga na Tanganyika. Tanzania Bara haijakalia Zanzibar chochote ila Zanzibar ndiyo ina Mirija ya Kunyonya Tanzania Bara kuanzia nafasi za Kazi, Uongozi, Mgawo wa Mapato 2% bila kuchangia, mgawo wa Mikopo, Freedom ya Wazanzibarir kumiliki Ardhi, Nyumba na Mali, Biashara na Mifugo na hata wakitaka Kuchimba Madini ruksa, ila Mtu wa Bara hawezi kwenza Zanzibar akafaidika na wanayofaidika nayo Wazanzibari wakiwa Bara. Pia Zanzibar ina Serkali yake, bendera yake, Wimbo wake wa Taifa na Kitmbulisho cha Mzanzibari wakati Tanzania Bara vitu vyote ni vya Muungano, je hapo nani kamkalia mwenzake?