Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

Mimi binafsi sioni tija ya muungano huu uliokuwepo sasa kwa maana ya zanzibar kama nchi na tanganyika kama kivuri kisichoeleweka ivyo basi kama kuna tija zaidi ya muungano basi kusiwe na taratibu zozote kwa raia wa pande mbili izi kama ilivyo kwa raia wa zanzibar akija bara na raia wa bara akienda zanzibar na iyo Zanzibar ifahamike kama mkoa tu wa tanzania ambayo itakua ni jamuuli ya muungano

Note: iki kizazi hatutaki janjajanja kila mtu anaona awo wapemba tumewabeba sana
 
Je Jiwe hakuwa akiipendelea Tanganyika waziwazi? mbona hamkulalamika?
Kwa kuwa jpm aliipendelea tanganyika so na samia ana uahali huo zanzibar?je una ushahidi kumuhusu jpm? Ukiombwa uthibitishe utaweza mkuu?
 
Tatizo ni viongozi wa zanzibar wanajua muungano ukivunjika hawatakuwa madarakani.
Muungano ukifa na neno Mapinduzi Daima lazima litafutika.
Naamini muda si mrefu huu muungano kama sio utakufa basi muundo wake utabadilishwa
Chama Cha Mapindizi. CCM ndio unaoshikilia muungano maana ukifa na CCM inakufa
 
Aya yako inayoeleza maoni yako ndo imeharibu andiko lako mkuu, Samia being mzazibari and muislam haimaanishi anaweza kufanya unayoyataka wewe. Ungeleta hoja zenye mashiko mezani sio kuonyesha ukiritimba wako
Na wewe ndio wale wale tu huo uzanzibar na uislamu ndio unao waumiza watanganyika wengi na ndio moja wapo ya sababu inayoifanya tanganyika kuikalia zanzibar na kuiamulia kila kitu Lukuvi alilisema hili kanisani na tulilisikia sote
 
Kwa kuwa jpm aliipendelea tanganyika so na samia ana uahali huo zanzibar?je una ushahidi kumuhusu jpm? Ukiombwa uthibitishe utaweza mkuu?

Barazaka lake la mawaziri halikuwa na hata Mzanzibari mmoja. Unalichukuliaje hilo?
 
Ukisikiliza kilio cha wazanzibar kuhusu unyanyasaji wanaoupata ndani ya muungano huu usioeleweka, ni kama vile Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu. Ni ukweli usiopingika kwamba wazanzibar wanapata taabu sana na huu muungano. Tangu Nyerere alipomrubuni Karume na kufanikiwa kuikalia Zanzibar kimabavu, kimekuwa ni kilio kisichoisha cha wazanzibar kwa jinsi nchi yao ilivyogeuzwa kuwa koloni la Tanganyika. Ushahidi upo wazi wala huhitaji kufanya utafiti kujua ni kiasi gani wazanzibar wamegeuzwa watwana wa watanganyika. Kila kona ya Zanzibar kilio ni hiki hiki.

Ni bahati mbaya kwamba kilo hiki kimekuwa cha muda mrefu lakini viongozi wa wazanzibar wamegeuka kuwa Chifu Mangungo wa Msovero kwa kukubali kuiuza nchi yao kwa watawala wa Tanganyika kwa sababu ya uroho wa fedha. Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha lakini viongozi wa wazanzibar wameiuza nchi yao kwa mkoloni Tanganyika kwa vipande 3 tu vya fedha. Hivi ni lini Tanganyika itakoma kuikalia Zanzibar kimabavu?

MAONI YANGU
Mama Samia wewe ni mzanzibar na muislamu safi. Waislamu hawapendi dhulma. Tafadhali fanya jambo kuinasua nchi yako kutoka kwenye makucha ya Tanganyika. Au nawe umenogewa na vipande 30 vya fedha na kuwaacha wazanzibar wenzako wakiangamia? Jitihada zako za kuikwamua Zanzibar kutoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi (Tanganyika) ndizo zikazotoa mwanga wa Zanzibar kujikomboa kiutawala, kiuchumi na kimaendeleo.

Mungu ibariki Zanzbar, Mungu ikomboe Zanzibar.

Pia soma: Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!
Muungano unawafaidisha zaidi wazanzibari kuliko watanganyika
 
Kwani wazanzibar wakipewa uhuru na Tanganyika iliyowakalia kimabavu hawatanufaika kiuchumi na rasilimali walizo nazo mkuu? Huenda una hoja lakini umeshindwa kuiweka vizuri ieleweke.
Hawana cha maana walichonacho

Haswa kwenye suala la elimu ndio kabisa wanategemea huku.
 
Elimu tunategemea huko bara lakini rasilimali na mali mnategemea huku Zanzibar makafir wakubwa!
Zanzibar mna Rasilimali gani?Labda uislamu ndiyo rasilimali yenu.Na mnatokwa povu kwa sababu mnaelewa fika kuwa iwapo swla la Muungano litafanyiwa kazi barabara kuna sehemu tu mtaumia.
 
Zanzibar mna Rasilimali gani?Labda uislamu ndiyo rasilimali yenu.Na mnatokwa povu kwa sababu mnaelewa fika kuwa iwapo swla la Muungano litafanyiwa kazi barabara kuna sehemu tu mtaumia.
Zanzibar tuna mafuta, samaki, viungo na chengine ardhi nzuri ya kuendesha shughuli za uchumi. Kama hatuna kitu mbona hamtupi uhuru wetu? Kwanini mnaendelea kutufanya koloni lenu kwa miaka 60 sasa? Acheni ujinga nyie makafir wala nguruwe. Yakhe hamna khaya?
 
Barazaka lake la mawaziri halikuwa na hata Mzanzibari mmoja. Unalichukuliaje hilo?
Sio mzanzibar tu hata mtu mmoja wa kaskazini hakuwepo, hakuna kipengele kwenye katiba kinachosema lazima waziri au kiongozi yoyote atoke sehemu fulani so hayo ni maoni yenu tu sio officially
 
Sio mzanzibar tu hata mtu mmoja wa kaskazini hakuwepo, hakuna kipengele kwenye katiba kinachosema lazima waziri au kiongozi yoyote atoke sehemu fulani so hayo ni maoni yenu tu sio officially

uankuaje na baraza la mawaziri ambalo halina hata muakilishi mmoja kutoka upande mwengine wa Muungano halafu unasema ni maoni yetu tu? unaleta mifano ya kaskazini kwani kuna muungano baina ya kaskazini na Tanganyika?
 
uankuaje na baraza la mawaziri ambalo halina hata muakilishi mmoja kutoka upande mwengine wa Muungano halafu unasema ni maoni yetu tu? unaleta mifano ya kaskazini kwani kuna muunganobaina ya kaskazini na Tanganyika?
Nyinyi ndio mnajichukulia kama nchi, sisi kwetu zanzibar ni kama kinondoni tu so punguza presha ndugu alafu kama jpm alikosa mtu sahihi kutoka zenji ilibidi ateue tu bila sifa sio? Embu fikiri kwanza kabla ya kuandika chochote
 
Nyinyi ndio mnajichukulia kama nchi, sisi kwetu zanzibar ni kama kinondoni tu so punguza presha ndugu alafu kama jpm alikosa mtu sahihi kutoka zenji ilibidi ateue tu bila sifa sio? Embu fikiri kwanza kabla ya kuandika chochote

Ndio mana mukaambiwa munashindwa hata kuelewa nini Muungano, munaweza kuwa na wawakilishi watupu watanzania na kenya bila ya mataifa mengine kwenye Jumuiya ya Africa Mashariki kuwemo?
 
Back
Top Bottom