Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

Wewe ni fara tu yakhe.
 
Wewe ni fara tu yakhe.
Kama mwatuona sie mafala basi tupeni uhuru wetu muache kutukalia na kutuburuza. Mwatufanya tuone twaishi kojani nyie nguruwe pori. Tutawasomea albadir mkafie mbali wapuuzi wakubwa.
 
Kama mwatuona sie mafala basi tupeni uhuru wetu muache kutukalia na kutuburuza. Mwatufanya tuone twaishi kojani nyie nguruwe pori. Tutawasomea albadir mkafie mbali wapuuzi wakubwa.
Aisee,basi jioni njema.
 
Mkuu hoja zako ni dhaifu sana na wala hazihalalishi Tanganyika kuendelea kuikalia Zanzibar kimabavu.
 
Ndio maana nimesema waislamu safi, sio waislamu njaa au waislamu kanzu. Na Rais Samia namfahamu ni muislamu safi. Afanye jambo kuikomboa Zanzibar yao au akae kimya aendelee kufurahia matunda ya urasi huku wapemba na waunguja wenzake wakitwezwa na Tanganyika.
 
Zanzibar mna Rasilimali gani?Labda uislamu ndiyo rasilimali yenu.Na mnatokwa povu kwa sababu mnaelewa fika kuwa iwapo swla la Muungano litafanyiwa kazi barabara kuna sehemu tu mtaumia.
Kama ni hivyo sasa kwanini Tanganyika inaikalia Zanzibar kwa miaka 60 sasa?
 
Post ya kipumbavu
 
Is the Other Way round. Jussa huwa anaongea kwa hasira na machukizo labda kwasababu ya Mababu zake wa Oman walivyonyang'anywa Visiwa vya Zanzibar na badala yake vikajiunga na Tanganyika. Tanzania Bara haijakalia Zanzibar chochote ila Zanzibar ndiyo ina Mirija ya Kunyonya Tanzania Bara kuanzia nafasi za Kazi, Uongozi, Mgawo wa Mapato 2% bila kuchangia, mgawo wa Mikopo, Freedom ya Wazanzibarir kumiliki Ardhi, Nyumba na Mali, Biashara na Mifugo na hata wakitaka Kuchimba Madini ruksa, ila Mtu wa Bara hawezi kwenza Zanzibar akafaidika na wanayofaidika nayo Wazanzibari wakiwa Bara. Pia Zanzibar ina Serkali yake, bendera yake, Wimbo wake wa Taifa na Kitmbulisho cha Mzanzibari wakati Tanzania Bara vitu vyote ni vya Muungano, je hapo nani kamkalia mwenzake?
 
Si ndiyo mkaleta majeshi yenu kuuwa watu kila ufikapo uchaguzi huku mkiweka vibaraka vyenu ?
 
Nyinyi ndio mnajichukulia kama nchi, sisi kwetu zanzibar ni kama kinondoni tu so punguza presha ndugu alafu kama jpm alikosa mtu sahihi kutoka zenji ilibidi ateue tu bila sifa sio? Embu fikiri kwanza kabla ya kuandika chochote

Nafkiri umedhihirisha matatizo muliyonayo kwenye post yako. Hakuna haja ya kuendelea na mengi
 
Post ya kipumbavu
Upumbavu upo makalioni mwako ndio yanakuwasha unakuja kukashfu post za wenzako. Kama kweli una akili andika post kinzani na hii uone kama kuna mtu atakusikiliza wewe kima.
 
Upumbavu upo makalioni mwako ndio yanakuwasha unakuja kukashfu post za wenzako. Kama kweli una akili andika post kinzani na hii uone kama kuna mtu atakusikiliza wewe kima.
Post ya kipumbavu kabisa
 
Nafkiri umedhihirisha matatizo muliyonayo kwenye post yako. Hakuna haja ya kuendelea na mengi
Tuishie hapa hata m naona ivyo, sababu zanzibar sio nchi halikadhalika tanganyika tulishazika toka 64 iweje zanzibar histawi tena bendera na wimbo wa taifa juu zanzibar inachokosa uwakilishi wa nje tu vyote inavyo mpaka jeshi je tanganyika viko wapi? Je wazanzibar ni raia special ndani ya jamhuri mpaka mpewe vyote hivyo? Na bado mnalalamika, NYERERE alikosea sana kuhusu hili namlahumu kwa kweli
 
Serikali ya TZ kwa kupitia Waziri Mkuu Mzee Pinda ilishathibitisha kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya TZ
 
Serikali ya TZ kwa kupitia Waziri Mkuu Mzee Pinda ilishathibitisha kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya TZ
Sasa kama ni nchi kwanini inaendelea kukaliwa na Tanganyika kimabavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…