Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu, kumbe unapanda basi kama sie na makeke yako yote hapa JF. Si kuna ndege hadi MbeyaTumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Ubabe tu,hii nchi sa ivi anaeza sema unanijua Mimi ni nani?Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Salute salute mkuu, nchi inahitaji mtu kama wewe,push push push backNdugu umekosea ungechukua namba ya huyo askari kichaa. Hata nyie abiria hamjitambuhi na hamna ushirikiano mgegoma kuondoka hapo.
Ana makeke gani? Mzee mambo yanabadilika, nakumbuka niliwah kukwea pipa kwenda bukoba kikazi wakati wakurud nasubir tiketi nambiwa panda bus, ndio kipindi bwana mkubwa john Joseph kapewa kijiti cha kuendesha nchi akawa anacut running cost, daaah nlikatika stimu sana... Ila poa tu niliona kama road trip mkuu,Mkuu, kumbe unapanda basi kama sie na makeke yako yote hapa JF. Si kuna ndege hadi Mbeya
Solution ni kuwa na uongozi wa nchi wenye kuwajibika. Na uongozi mzuri utapatikana kwa kuwa na uchaguzi huru. Uchaguzi huru unafanyika kwa kuwa na katiba nzuri. Hakuna short cut! Ndiyo maana watu wanaosema katiba mpya itakuletea chakula mimi huwa nasema ni wapumbavu.Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Polisi nchi hii wanatumiaga nguvu bila akili kibaya zaidi wanabebwa na wakubwa waoTumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.
Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.
Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Halafu jamaa alikua na mwili nyumba kumbe akili kisodaPolisi nchi hii wanatumiaga nguvu bila akili kibaya zaidi wanabebwa na wakubwa wao
Hata derva hasinge kubali kuondoa basi sheria dereva wawe 2Kwel kabsa Kaka abiria wa tz wengi n mazwazwa hawana akili kwa stor aliyoitoa mtoa mada abiria wangekuwa na akili wasingeondoka apo stems Ila kwa kuwa n Machizi na waoga na wasioweza ku judge kitu wakaondoka tuu watanzania aliyetuloga kafa
Means ukiambiwa kunya kati kati ya T1 utafanya hivyo, hii nchi ina safari ndefu sanaTii sheria bila shuruti
Duh, Kuna watu ni jealous balaa, heri umemjibu, haya mimi Nina makeke Gani? Asante umemjibuAna makeke gani? Mzee mambo yanabadilika, nakumbuka niliwah kukwea pipa kwenda bukoba kikazi wakati wakurud nasubir tiketi nambiwa panda bus, ndio kipindi bwana mkubwa john Joseph kapewa kijiti cha kuendesha nchi akawa anacut running cost, daaah nlikatika stimu sana... Ila poa tu niliona kama road trip mkuu,
Sijaelewa hapaTumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Hao askari wengi ni gorm 4 failures akili haiwezi kureason wakaomba ushahidi wa abiria wa jambo gani lilitokeaTunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Mkuu labda uliwaambia huwa una panda ndege always... Ila mambo yanabadilikaDuh, Kuna watu ni jealous balaa, heri umemjibu, haya mimi Nina makeke Gani? Asante umemjibu
Huenda una chuki binafsi na Mimi au una wivu usio na sababu au una stress TU, Mimi Nina makeke gani? Wapi niliwahi kusema napanda ndege? Kila siku nandika thread mabasi yaruhusiwe kusafiri usiku sisi wa Kasulu tusilale njiani, ni wapi niliwahi kuonyesha makeke?Mkuu, kumbe unapanda basi kama sie na makeke yako yote hapa JF. Si kuna ndege hadi Mbeya