Ni lini Traffic Police watatumia akili? Maamuzi kama haya ni ya kipumbavu

Unamtukana askari wakati kahararisha maisha yenu kwa kwenda na dereva mmoja unakuja kuandika uzi wakati ilitakiwa ikiwezekana mkae wote lock up...Watanzania lini mtajitambua na kujua haki zenu za Msingi...muhuni mmoja akiwa na sare ya kazi anaweza kuwafanya wote wajinga na mnakubali..
 
na nyinyi abiria mulinyamaza kimya, mulitakiwa mupaze sauti.

Munarekodi hiyo kitu halafu munairusha kwenye mitandao immediately, ikiwafikia tu wanarekebisha.
 
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.

Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.

Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.

Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.

Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.

Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.

Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Mkuu, kumbe unapanda basi kama sie na makeke yako yote hapa JF. Si kuna ndege hadi Mbeya
 
Hii nchi kuna wasengelema wengi sana ila in no particular order
1. Ni CCM
2. Askari police..
Me nadhani tatizo ni shule.. Mtaji wa ccm ni askari, vilaza na majitu majinga majinga ya nchi hii na si yapo mengi au nasema uongo ndugu zangu..
 
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.

Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.

Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.

Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.

Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.

Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.

Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Ubabe tu,hii nchi sa ivi anaeza sema unanijua Mimi ni nani?
 
Poleni kwako na abiria wengine, BUT MKUU WAPI ILE PUSH BACK?,why wewe na abiria hamkugoma kuendelea na safari mpaka sababu za kuwekwa ndani kwa dereva zijulikane?mngefanya hii push back mngepeleka strong message kwa police kuwa watanzania sasa sio lalama tu, iam not a hero ila Nami safari yangu ingeishia hapo
 
Mkuu, kumbe unapanda basi kama sie na makeke yako yote hapa JF. Si kuna ndege hadi Mbeya
Ana makeke gani? Mzee mambo yanabadilika, nakumbuka niliwah kukwea pipa kwenda bukoba kikazi wakati wakurud nasubir tiketi nambiwa panda bus, ndio kipindi bwana mkubwa john Joseph kapewa kijiti cha kuendesha nchi akawa anacut running cost, daaah nlikatika stimu sana... Ila poa tu niliona kama road trip mkuu,
 
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.

Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.

Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.

Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.

Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.

Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.

Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Solution ni kuwa na uongozi wa nchi wenye kuwajibika. Na uongozi mzuri utapatikana kwa kuwa na uchaguzi huru. Uchaguzi huru unafanyika kwa kuwa na katiba nzuri. Hakuna short cut! Ndiyo maana watu wanaosema katiba mpya itakuletea chakula mimi huwa nasema ni wapumbavu.
 
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.

Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.

Akaja RTO akamfuata dereva WA bus husika na kumuamuru ahame Site Yake akakae opposite Site ili wayanasue pale, dereva alitii lakini alivyoweka bus upande ule, akaamuriwa Tena aliingize kwenye uchochoro ambao ulikua umejaa tope na kwa ukubwa wa Bus kuliingiza pale lingezama na tusingeweza kutoka Tena.

Dereva akamweleza na kumuelewesha ila yule Askari wa hovyo akamkazia jamaa, jamaa akagoma! Akamwambie TUTAONA.

Tukaruhusiwa kuondoka, tumefika Msamvu saa nne dakika 38 jamaa amekamatwa amewekwa lock-up.

Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.

Waliosema mabasi yawe na madereva wawili walikua na akili.
Polisi nchi hii wanatumiaga nguvu bila akili kibaya zaidi wanabebwa na wakubwa wao
 
Kwel kabsa Kaka abiria wa tz wengi n mazwazwa hawana akili kwa stor aliyoitoa mtoa mada abiria wangekuwa na akili wasingeondoka apo stems Ila kwa kuwa n Machizi na waoga na wasioweza ku judge kitu wakaondoka tuu watanzania aliyetuloga kafa
Hata derva hasinge kubali kuondoa basi sheria dereva wawe 2
 
Ana makeke gani? Mzee mambo yanabadilika, nakumbuka niliwah kukwea pipa kwenda bukoba kikazi wakati wakurud nasubir tiketi nambiwa panda bus, ndio kipindi bwana mkubwa john Joseph kapewa kijiti cha kuendesha nchi akawa anacut running cost, daaah nlikatika stimu sana... Ila poa tu niliona kama road trip mkuu,
Duh, Kuna watu ni jealous balaa, heri umemjibu, haya mimi Nina makeke Gani? Asante umemjibu
 
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi. Kuna kipande kuna lory lilikua bovu hivyo mabasi na magari mengine yakatanua, baada ya muda gari zote zikawa haziendi kwa sababu ya mizani pale.
Sijaelewa hapa
Umesema mlisimamishwa Msolwa ikimaanisha mlishapita Kigwaza ilipo mizani na Chalinze, sasa hiyo foleni ya mizani imewazuiaje wakati Msolwa ipo karibu na Mdaula mbali kabisa na ilipo mizani?
Tunaendelea na safari na Dereva mmoja, sasa hapa ndio najiuliza kama kweli askari wetu wanatumia busara au lah.
Yaani unamuweka Driver lockup then uruhusu basi liendelee na safari na driver mmoja, huyu akichoka au akipata dharura, risk inakua kubwa kwa roho za watu.
Hao askari wengi ni gorm 4 failures akili haiwezi kureason wakaomba ushahidi wa abiria wa jambo gani lilitokea
 
Mkuu, kumbe unapanda basi kama sie na makeke yako yote hapa JF. Si kuna ndege hadi Mbeya
Huenda una chuki binafsi na Mimi au una wivu usio na sababu au una stress TU, Mimi Nina makeke gani? Wapi niliwahi kusema napanda ndege? Kila siku nandika thread mabasi yaruhusiwe kusafiri usiku sisi wa Kasulu tusilale njiani, ni wapi niliwahi kuonyesha makeke?

Kwahio hukuona hata kama nilichoandika kina mantiki au lah ukaona unishambulie Mimi? Sijawahi hata kukutana na wewe, unawezaje kunihukumu kiasi hiki? Mimi ni mganga njaa tu na kama Kuna kidogo Niko nacho basi ni jasho langu kwa uwezo wa Mungu.

Kuna siku niliwahi kukutukana au kumdharau MTU kwa ulinganifu wa mali au vitu?? Aisee umenishangaza mno.

Kwahio wewe Kila siku una KAZI ya kufuatilia nimepost au nimekomenti nini? Duh 🙄
 
Back
Top Bottom