NI lini tutapata Kiongozi mwenye upeo mkubwa kama huyu Mzee?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa.

Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee.

Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
 
Attachments

  • AQNE8--iiuJOlwyHcitkfNxxK9ZrIYuplXiK2f5Y5Mi-arVDSb9tcou3ddFMzZfWiDn8ufgI2_KP_9rqnfhXWc0P3a0a-5...mp4
    22.6 MB
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa.

Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee.

Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
Huyu ni Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe huko Kagera anaitwa Dr Bagonza.
 
Maneno tu ya kukariri hana ugunduzi wowote ,mtu mweusi hana anachojua...Hana uwezo labda anakushikia akili ,hamna kitu kabisa ni pumba..

unawajua BAKWATA au waislamu ,wewe baadaye na kundi lako unawaita magaidi ..Kuna askofu yuko lumande kwa kesi za uchochezi dhidi ya serikali.

Hao wote waoga hamna kipya ,kaangalie gerezani kuna mashekhe wangapi...
 
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa.

Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee.

Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
Kazee kanajitambua sana! Haka pamoja na Askofu Severine Niwe-Mugizi nawakubali sana! Jiwe alitaka kuwapa jambajamba lakini akafeli!
 
Upande wa pili wao hua wanazungumza mambo ya madevowoshipa wakubwa 😂
 
Maneno tu ya kukariri hana ugunduzi wowote ,mtu mweusi hana anachojua...Hana uwezo labda anakushikia akili ,hamna kitu kabisa ni pumba..

unawajua BAKWATA au waislamu ,wewe baadaye na kundi lako unawaita magaidi ..Kuna askofu yuko lumande kwa kesi za uchochezi dhihi ya serikali.

Hao wote waoga hamna kipya ,kaangalie gerezani kuna mashekhe wangapi...
twambie kwny salamu za iddie masheikh nk walizungumza nn cha maana, pili swala jera ww una uhakika hakuna wachungaji, maaskofu huko jera, umewahi tembelea jera zote nchi nzma ukakuta masheikh tu ndo wapo jera au siyo..
 
Mvaa kobazi kwenye ubora ,,,, kubali bakwata mmeshashikwa na serikali,,,, hampindui, mnaongozwa tu kama mazuzu
 
Wassira yupo
1744452621089.png
 
Huyu ni Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe huko Kagera anaitwa Dr Bagonza.
Kumbe ni huyo Banyamulenge, huyo afukuzwe arudi kwao hiyo jamii haijazoea kuishi kwa amani, kila mara ni chokochoko, kunguru wa Pemba hafugiki
 
twambie kwny salamu za iddie masheikh nk walizungumza nn cha maana, pili swala jera ww una uhakika hakuna wachungaji, maaskofu huko jera, umewahi tembelea jera zote nchi nzma ukakuta masheikh tu ndo wapo jera au siyo..
Jifunze kuandika jera ndio nini, hauko makini
 
Back
Top Bottom