NI lini tutapata Kiongozi mwenye upeo mkubwa kama huyu Mzee?

NI lini tutapata Kiongozi mwenye upeo mkubwa kama huyu Mzee?

twambie kwny salamu za iddie masheikh nk walizungumza nn cha maana, pili swala jera ww una uhakika hakuna wachungaji, maaskofu huko jera, umewahi tembelea jera zote nchi nzma ukakuta masheikh tu ndo wapo jera au siyo..
Jela hakuna maaskofu na ..Wachungaji wako ni waoga wanalindwa na hapa jamaa wa italy ... Waislamu wana misimamo binafsi ,wapo wengi kabla.

Kiufupi hawa ujasiri kama Waislamu ,hakuna mchungaji atakuja kuitwa ''Gaidi ''hata siku moja.

Ponda alipigwa risasi .
 
Mvaa kobazi kwenye ubora ,,,, kubali bakwata mmeshashikwa na serikali,,,, hampindui, mnaongozwa tu kama mazuzu
Unaongelea BAKWATA au waislamu? BAKWATA ni serikali sasa uliona wapi Taasisi ya serikali ikakosoa serikali?

Pesa wanatoa wapi kujiendesha? BAKWATA imeanzishwa na nani?
 
Jela hakuna maaskofu na ..Wachungaji wako ni waoga wanalindwa na hapa jamaa wa italy ... Waislamu wana misimamo binafsi ,wapo wengi kabla.

Kiufupi hawa ujasiri kama Waislamu ,hakuna mchungaji atakuja kuitwa ''Gaidi ''hata siku moja.

Ponda alipigwa risasi .
Misimamo wapi wakati wanalamba miguu ya raisi Kila siku shenzi kabisa kobazi Kila siku kusifia utumbo
 
twambie kwny salamu za iddie masheikh nk walizungumza nn cha maana, pili swala jera ww una uhakika hakuna wachungaji, maaskofu huko jera, umewahi tembelea jera zote nchi nzma ukakuta masheikh tu ndo wapo jera au siyo..
Naongelea jela sio jera kuwa na akili ,usiamini wajinga ambao hata wakoloni waliwaogopa ...Hakuna kwenye kanisa wote waoga ,mpaka watume ujumbe kutoka kwa papa ila wao ni waoga.

Waoga hawana wanachoweza zaidi ya kukariri ,hao hata kwenye uhuru walikuwa wamejichimbia🤣🤣
 
Misimamo wapi wakati wanalamba miguu ya raisi Kila siku shenzi kabisa kobazi Kila siku kusifia utumbo
Raisi yupi unaongelea ,maaskofu wako waoga na alichoongelea hapo ni uharo mtupu ...Waoga hamna ujasiri wa waislamu.
. vitisho vyenu msilazimish waislamu kuwafuata mitazamo yenu🤣🤣bakini na misimamo yenu , hamuwezi kutrend bila ya waislamu.
 
Kwanini nyie waislamu msiwaonye hao bakwata kutumia uislamu kusifia serikali
Kwani tatizo lako liko wapi?🤣🤣Tafute pesa CCM wacha wale ni riziki yao .. Umaskini unaleta harakati za kichoko.

Walishapambania uhuru hawana haja ya kufuata nyie wanaharakati wa juzi ..Si umeona Ramadhan mlikuwa mnaifuatilia ila sikukuu yenu hata sisi hatujui... Pambaneni kimpango wenu .!
 
Hivi huwa mnawasikiliza 'WAPINZANI' au vipi?

Sitilii shaka juu ya Kipawa cha mzungumzaji katika kuelekeza.
Hatahivyo, kwenye maudhui ni HAKUNA JIPYA.

Kuhusu Taasisi uliyoitaja?
Kuiingiza hiyo Taasisi kwa namna uliyofanya hapa ni unaanika 'KAUNAFKI' fikirishi.

Kukusaidia tu;
Chimba na Jielimishe chimbuko la hiyo Taasisi na Mlengo wake kama ilivyozooleka.
Wewe ungebakia kwenye udalili wako kuuza squatters mbagala chamazi 110m really??!!

Huku hupawezi ni Bora uka kaa kimya kuliko kuleta lopolopo hapa ndani jukwaani several times.
 
Wewe ungebakia kwenye udalili wako kuuza squatters mbagala chamazi 110m really??!!

Huku hupawezi ni Bora uka kaa kimya kuliko kuleta lopolopo hapa ndani jukwaani several times.

Ukweli una kawaida ya kuchonyota Rohoni.
Ni kawaida.
Hata hivyo, haumuumizi kichwa saana muungwana,mwenye akili, zaidi, anaweza kujipinda angalau kuupinga,lakini kwa Hoja.
Kuepa Hoja na kumzungumzia mtu binafsi tena asiehusika kwenye Hoja ya msingi inaonyesha 'ULIVYO MWEUPE NA DEBE-TUPU KICHWANI'.

Udalali hujakosea,-Nafanyana saana na huku nako nakuburuza vilevile.
 
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa.

Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee.

Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
Huyu kada wa CHADEMA hana kitu.. ni wa kupuuzwa. Yeye, Mwamakula na Maria wameizamisha CHADEMA kwenye kina kirefu bila huruma.
 
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa.

Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee.

Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
Mwamba sana..
 
Naongelea jela sio jera kuwa na akili ,usiamini wajinga ambao hata wakoloni waliwaogopa ...Hakuna kwenye kanisa wote waoga ,mpaka watume ujumbe kutoka kwa papa ila wao ni waoga.

Waoga hawana wanachoweza zaidi ya kukariri ,hao hata kwenye uhuru walikuwa wamejichimbia
 
Maneno tu ya kukariri hana ugunduzi wowote ,mtu mweusi hana anachojua...Hana uwezo labda anakushikia akili ,hamna kitu kabisa ni pumba..

unawajua BAKWATA au waislamu ,wewe baadaye na kundi lako unawaita magaidi ..Kuna askofu yuko lumande kwa kesi za uchochezi dhidi ya serikali.

Hao wote waoga hamna kipya ,kaangalie gerezani kuna mashekhe wangapi...
Kati ya hao walio rumande leta clip zao tuone movements zao kama za huyo askofu kama kweli
 
Hivi huwa mnawasikiliza 'WAPINZANI' au vipi?

Sitilii shaka juu ya Kipawa cha mzungumzaji katika kuelekeza.
Hatahivyo, kwenye maudhui ni HAKUNA JIPYA.

Kuhusu Taasisi uliyoitaja?
Kuiingiza hiyo Taasisi kwa namna uliyofanya hapa ni unaanika 'KAUNAFKI' fikirishi.

Kukusaidia tu;
Chimba na Jielimishe chimbuko la hiyo Taasisi na Mlengo wake kama ilivyozooleka.
Wewe ndiyo ungesaidia wengi sada hapa
 
Kati ya hao walio rumande leta clip zao tuone movements zao kama za huyo askofu kama kweli
Kuna movement gani hpo wanaenda kushtaki kwa papa ...Kwani hata uhuru si wazi inajulikanq ..
 
Back
Top Bottom