Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?

Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?

Unataka bwana wa kipalestine nn?unauliziaje kutahiliwa kwa mtu kwani huku tanzania umekosa soko
 
Ww kutahiriwa kwa wapalestine kuna kuhusu nini hapo ulipo nchi yako miaka 62 ya uhuru umeme wa uhakika na maji hakuna unauliza kutahili kwa wapalestine au unataka bwana
Jibu swali, acha porojo, waijua Nchi yangu ww!
 
Mudi mwenywe hakuwahi kutailiwa.
Kule vijijini kwenu Shinyanga ,Geita,Mwanza na Simiyu huwa hawatairi mkuu. Mudi aliwaambia wafuasi wake kupata hiyo Sunna ndio maana Waislamu wengi wanatairi
 
Zamani magovi yalikuwa yanathamani, mpaka kulipia mahari kabisa 😁😁
 
Wafilisti ndio Wapalestina??
Kihistoria, kimipaka wafilisti walikuwa majirani wa Israel.

Wafilisti walitokana na Misri Mwana wa Canaan ,mwana wa Nuhu, while Mwana wa Ibrahim wa nje ya NDOA Ishmael Inasemekana ni Saudi Arabia.

So to conclude Palestine ni likely to Philistines maana pia mataifa yote yalitawanywa before.
 
Kwa upande wangu Imani ya kila mtu ni sahihi, cha msingi ushikilie unachokiamini. Mjadala wa nani ni sahihi zaidi ya mwingine ni udumavu wa akili, kwa sababu hakuna kitu yenu aliyeanzisha dini, na madhaifu ya mifumo ya kuabudu ni ya kibinadamu sio kimungu. Ukiona uislamu ni bora kuliko ukristo shikilia huko na ukiona ukristo ni mzuri zaidi ya uislamu amini huko pia. Cha msingi utende haki siku zote na uamini Mungu unayemwabudu bila kuchanganya na mambo mengine au miungu wengine.
Njia ya Mbinguni ni Moja tu,

Yesu Kristo.

Hazipo njia mbili au tatu kufika Mbinguni. Dini ya uislamu, uyahudi hazitakupa Mbingu yoyote.

Njia zingine mbali na YESU kristo,zinakupeleka motoni.

Yesu asema, Mimi ndimi njia na Kweli na Uzima, mtu haji Kwa baba, ila Kwa njia ya Mimi. (Yohana 14:6).

Amen
 
Back
Top Bottom