- Thread starter
- #101
Ndo uone Taifa Hilo lilivyobarikiwa,Hahahah
Israel wamezoea vita aisee
Kubakwa Kwa Dina bint yakobo kukasababisha watoto wa kiume wasiozidi 12 kuangamiza Nchi nzima na kuiteka yote Kwa akili kubwa bila kuhofia wingi wa adui.
Pia nilimtag Faiza fox Ili kumwonyesha Hasa nani kafiri kati ya Wafilisti, waisraeli.