KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kushikiwa akili ni kawaida yenu.Unaongelea wayahudi wajuzi hapa wakati agano lilifanyika kwa Ibrahim huko!.baada ya mood kusambaza dini yake. zamani walikuwa na magovi. hata goliath wa Gaza na jeshi lake alikuwa na govi. nakumbuka Daudi alishaenda kuwauwa wengi kweli akawakata magovi yaliyojaa magunia. wawashukuru wayahudi waliwaletea ustaarabu wangekuwa na mikono ya sweta hao. na mood aliiga utamaduni toka kwa wayahudi.
Mwanzo 17
10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.
23 Ibrahimu akamtwaa Ishmaeli mwanawe, na wote waliozaliwa nyumbani mwake, na wote walionunuliwa kwa fedha yake, wanaume wote wa watu wa nyumba ya Ibrahimu, akawatahiri nyama ya magovi yao siku ile ile, kama Mungu alivyomwambia.
24 Naye Ibrahimu alikuwa mwenye umri wa miaka tisini na kenda alipotahiriwa nyama ya govi lake.
25 Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake.