Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?

Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?

Attachments

  • Screenshot_20231020_111156_Biblia Takatifu.jpg
    Screenshot_20231020_111156_Biblia Takatifu.jpg
    143.3 KB · Views: 4
Ahaa unamjua Paulo?

Aliitwa sauli alikua myahudi aliyepambana na ukristo hadi kufikia kuwauwa wakristo,ila alipata neema ya kristo akakombolewa akaongoka akawa mtume na akabatizwa na kuitwa paulo ndiye aliye ueneza ukristo sehemu nyingi zaidi,hii ni storia kwa mujibu wa vitabu vya injili.

Kuna lingine unataka kujua.
 
Aÿa 19
 
Attachments

  • Screenshot_20231020_112633_Biblia Takatifu.jpg
    Screenshot_20231020_112633_Biblia Takatifu.jpg
    142 KB · Views: 4
Hizistori za nyie mazinga huwa zinafurahisha sana 😁😁😁😁😁😁😁
Yaan hata mnachojadili nyie wenyewe hamkielewi, kweli nyie mmepotea 😁😁😁😁😁😁
 
Hata hapa bongo, Wakristo hawatahiriwi kama Wana wa Israel. Utawajua waabudu baali na sanamu na wasiotahiriwa kuanzia hapo!
 
Si Paul ameshakujibu sio lazma kutahiriwa.unataka jibu gani tena
Haumuamini?
Usipige chenga.

Jibu swali la HOJA hapo juu,

Ni Lini wafilisti/Wapalestina walianza Rasmi kutahiriwa?

Paulo anaongea lingine halihusiani na mada.
 
Hizistori za nyie mazinga huwa zinafurahisha sana 😁😁😁😁😁😁😁
Yaan hata mnachojadili nyie wenyewe hamkielewi, kweli nyie mmepotea 😁😁😁😁😁😁
Jibu HOJA basi!!

Pia epuka kutumia emoj nyingi ikiwa ni Mwanaume uliyetahuriwa!!
 
Jibu HOJA basi!!

Pia epuka kutumia emoj nyingi ikiwa ni Mwanaume uliyetahuriwa!!
Mzee emoji zangu haziondoi hata nukta ya uanaume wangu simu yng naandika navyojiskia nyambaaaaffff
😐😐😐😐😐
 
Back
Top Bottom