Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?

Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?

Wana wa Hamu ni Putu, Misri, Canaani na kushi (Mwanzo 10:6)

Ok Misri Mwana wa Hamu akawazaa Wafilisti.

Lete maandiko[emoji120]
Mwanzo 10:13-14"Misri akazaa Waludi,na Waanami,na Walehabi,na Wanaftuhi,na Wapathrusi,na Wakasluhi;HUKO NDIKO WALIKOTOKA WAFILISTI na Wakaftori."
*Kwo kwa mujibu wa Biblia;Hamu kamzaa Misri Misri kamzaa mfilisti(philistine).Kwa hiyo wapalestina ni watoto wa Misri.Pengine ndiyo maana hata walipoambiwa waondoke wakaenda kujazana katika mpaka wa Misri waingie humo.Ni kwao
 
Yaani swali Kwa swali!!!

Nimeuliza nami naulizwa tena Badala la kujibiwa!!
Umeuliza: Ni lini Wafilisti/Wapalestina walianza rasmi kutahiriwa?
Sasa, katika hayo uliyoandika kabla ya swali lako, ndiposa maswali mengine yanazuka.
 
Mwanzo 10:13-14"Misri akazaa Waludi,na Waanami,na Walehabi,na Wanaftuhi,na Wapathrusi,na Wakasluhi;HUKO NDIKO WALIKOTOKA WAFILISTI na Wakaftori."
*Kwo kwa mujibu wa Biblia;Hamu kamzaa Misri Misri kamzaa mfilisti(philistine).Kwa hiyo wapalestina ni watoto wa Misri.Pengine ndiyo maana hata walipoambiwa waondoke wakaenda kujazana katika mpaka wa Misri waingie humo.Ni kwao
So to conclude, Palestina=Philistines.
 
Nahisi Daudi alikata govinda za Wafilisti 200.

Aisee umeibua kisa matata sana

CC: FaizaFoxy
Umechelewa sana kuyaelewa hayo, nisome hapo utazame ilikuwa mwaka gani:

Watu mmekuwa brainwashed Sana aisee! Palestinians siyo wafilist wale ni waarabu ...wafilist walishapotea kwenye history Kama yalivyopotea makabila kumi ya Israel baada ya kuvamiwa na nebukadneza wa babeli
 
baada ya mood kusambaza dini yake. zamani walikuwa na magovi. hata goliath wa Gaza na jeshi lake alikuwa na govi. nakumbuka Daudi alishaenda kuwauwa wengi kweli akawakata magovi yaliyojaa magunia. wawashukuru wayahudi waliwaletea ustaarabu wangekuwa na mikono ya sweta hao. na mood aliiga utamaduni toka kwa wayahudi.
Unakumbuka eehhn.....
 
Back
Top Bottom