Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua.

Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi.

Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
 
Wako wapi mimi niko hapa kula sikukuu mbona natembea hizo km siwaoni au wewe unawatambuaje. Ila nilichoona jana jioni ni kwamba wanawake wengi wanavaa vichupi tu hapa forodhani.
 
Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua.

Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi.

Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom