Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

Suala la mashoga saiv wapo wengi kila mahali si zenji tuh huku bara napo vile vile nazan sehem ambazo ziko salama ni vijijini tuh
 
Tofauti y
Huko si ndiyo tunaambiwa asilimia 99% ni waislam? Cha ajabu waislam wanawazodoa wakristo wakatoliki kwamba papa wao kawapiga na kitu kizito kiasi ya kuwakejeli wahamie kwenye uislam hauna mambo hayo!
a Wazungu mashoga hawajifichi ,Afrika na Waarabu ni Siri!
 
Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua.

Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi.

Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
Duuh
 
Back
Top Bottom