Mkuu kumbe pia wewe huna marinda?Hao jamaa umewaangali wanatokea wapi ? Au ni wapemba watupu?
Dar yamepungua yapo Kilimanjaro kula sikukuu...Hutosikia ujinga mpaka warudi wakina Noel mushiMkuu kumbe pia wewe huna marinda?
Bado una jicho la ugeni (una kama mguuni kama kuku mgeni). Endelea kukaa kidogo utazoea na kuanza kuwatambua.Wako wapi mimi niko hapa kula sikukuu mbona natembea hizo km siwaoni au wewe unawatambuaje.
Wanawake wa kizanzibar au foreigners?Wako wapi mimi niko hapa kula sikukuu mbona natembea hizo km siwaoni au wewe unawatambuaje. Ila nilichoona jana jioni ni kwamba wanawake wengi wanavaa vichupi tu hapa forodhani.
shenzi, huna adabuDar yamepungua yapo Kilimanjaro kula sikukuu...Hutosikia ujinga mpaka warudi wakina Noel mushi
Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao[emoji24]Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua.
Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi.
Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao