Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ?

1. Agombee ubunge arudi bungeni

2. Aungane na kina Mnyika wafanye mapinduzi ndani ya CHADEMA wapambane wachukue dola .

3. Aondoke CHADEMA aanzishe chama au ahamie chama kingine

4. Atulie abaki CHADEMA chama kiko mikono salama na kiko tayari kwa mapambano 2025 .

Soma Pia:

Izo dalili unazitoa wapi? Kwa uyu Mungu wa 4 7mbatizaji . kama ndie basi nife mdomo wazi na kama sie kufa mdomo wazi
 
Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ?

1. Agombee ubunge arudi bungeni

2. Aungane na kina Mnyika wafanye mapinduzi ndani ya CHADEMA wapambane wachukue dola .

3. Aondoke CHADEMA aanzishe chama au ahamie chama kingine

4. Atulie abaki CHADEMA chama kiko mikono salama na kiko tayari kwa mapambano 2025 .

Soma Pia:

nadhani ni muhimu zaid arudi ubelgiji kwa sababu anayo familia ingine huko na hiyo itapendeza zaid kwa maoni yangu 🐒
 
1. Agombee ubunge arudi bungeni

2. Aungane na kina Mnyika wafanye mapinduzi ndani ya CHADEMA wapambane wachukue dola .

3. Aondoke CHADEMA aanzishe chama au ahamie chama kingine

4. Atulie abaki CHADEMA chama kiko mikono salama na kiko tayari kwa mapambano 2025
1. Aliwahi kuwa mbunge na hakufanya chochote cha maana kwa miaka 10. Uwezekano wa kutopata hata huo ubunge ni mkubwa tu.
2. Aliwahi kujaribu kujiinua zaidi ya mwenyekiti huko nyuma, yatamkuta yakutukuta. Ajaribu tena auine mziki wa mfalme mbowe.
3. Lisu hana charisma ya kuongoza chama cha siasa. Kitakufa baada ya kuanzishwa tu.
4. Hiyo ndiyo probable alternative. Chama hakiko salama, lakini abaki humo humo mpaka kieleweke.
 
Lissu LAZIMA agombee uRais kupitia CHADEMA. Ataongoza kwa kura hata kama hatatangazwa mshindi (rej. Nape na mhesabu kura wake).

Muhimu ataifanya CHADEMA kuendelea kuwa relevant kwa wananchi na kuendelea kuwa hai kama chama kikuu cha upinzani na tishio kwa watawala. Zile amsha amsha za kampeni na mihaho ya vyombo vya dola vitakuwa publicity tosha ya uhai wa chama.
 
1. Aliwahi kuwa mbunge na hakufanya chochote cha maana kwa miaka 10. Uwezekano wa kutopata hata huo ubunge ni mkubwa tu.
2. Aliwahi kujaribu kujiinua zaidi ya mwenyekiti huko nyuma, yatamkuta yakutukuta. Ajaribu tena auine mziki wa mfalme mbowe.
3. Lisu hana charisma ya kuongoza chama cha siasa. Kitakufa baada ya kuanzishwa tu.
4. Hiyo ndiyo probable alternative. Chama hakiko salama, lakini abaki humo humo mpaka kieleweke.
Umetumwa na CCM ?
 
Au Mwenyekiti?
 
Hapana sio kweli
 
Pengine ubunge ndicho kitu anachokiweza.

Kama ameshindwa kutulia huko chadema naye awekwe tu kwenye kundi la watu wenye uchu wa madaraka na ubinafsi

U rais wa Tanzania hawezi kupata
 
1. Agombee ubunge arudi bungeni

2. Aungane na kina Mnyika wafanye mapinduzi ndani ya CHADEMA wapambane wachukue dola .

3. Aondoke CHADEMA aanzishe chama au ahamie chama kingine

4. Atulie abaki CHADEMA chama kiko mikono salama na kiko tayari kwa mapambano 2025
1. Aliwahi kuwa mbunge na hakufanya chochote cha maana kwa miaka 10. Uwezekano wa kutopata hata huo ubunge ni mkubwa tu.
2. Aliwahi kujaribu kujiinua zaidi ya mwenyekiti huko nyuma, yatamkuta yakutukuta. Ajaribu tena auine mziki wa mfalme mbowe.
3. Lisu hana charisma ya kuongoza chama cha siasa. Kitakufa baada ya kuanzishwa tu.
4. Hiyo ndiyo probable alternative. Chama hakiko salama, lakini abaki humo humo mpaka kieleweke
Umetumwa na CCM ?
Unadhani wewe ulivyo rahisi kutumwa basi kila mtu ni rahisi kihivyo? Mimi ni independent, siko affiliated na chama chochote.
 
Back
Top Bottom